Kuangalia TBC kwenye simu

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Nime down load software ya vodacom ili niweze kuangalia tbc bure kama wanavyo dai.
Lakini haieleweki mara ina nila credit au saa zingine haichukui credit.
Kuna mtu imesha mtokea au anajua kwa nini?
Msaada pls.
 
Simu yangu ina tv bila hata kupata software, ila TBC1 inapatikana ikiwa kama location settings yake ni nchi nyingne na sio Tanzania(shortly ni kuwa to get TBC1 signals u must set its location with a country which isnt Tz,eg Uganda, Pakistan etc), ikiwa umepata TBC ktk hizo nchi hutasikia sauti never unlike other stations ambazo hupatikana ktk location ya Tz na sauti husikika.
 
tunaombeni na sisi hiyo link tujaribu kwenye simu zetu za kwa mjomba chugh
 
Simu yangu ina tv bila hata kupata software, ila TBC1 inapatikana ikiwa kama location settings yake ni nchi nyingne na sio Tanzania(shortly ni kuwa to get TBC1 signals u must set its location with a country which isnt Tz,eg Uganda, Pakistan etc), ikiwa umepata TBC ktk hizo nchi hutasikia sauti never unlike other stations ambazo hupatikana ktk location ya Tz na sauti husikika.

Simu ya mchina?
 
Nime down load software ya vodacom ili niweze kuangalia tbc bure kama wanavyo dai.
Lakini haieleweki mara ina nila credit au saa zingine haichukui credit.
Kuna mtu imesha mtokea au anajua kwa nini?
Msaada pls.

Ulifuata njia zipi kudownload jibu ili upate maelekezo.
 
Simu yangu ina tv bila hata kupata software, ila TBC1 inapatikana ikiwa kama location settings yake ni nchi nyingne na sio Tanzania(shortly ni kuwa to get TBC1 signals u must set its location with a country which isnt Tz,eg Uganda, Pakistan etc), ikiwa umepata TBC ktk hizo nchi hutasikia sauti never unlike other stations ambazo hupatikana ktk location ya Tz na sauti husikika.

mmmm kwa mfumo wa analog . ....? maana huo ulifungwa......leo hii n kucheza na apps tu vinginevyo hiyo sm yako n unique...
 
Nime down load software ya vodacom ili niweze kuangalia tbc bure kama wanavyo dai.
Lakini haieleweki mara ina nila credit au saa zingine haichukui credit.
Kuna mtu imesha mtokea au anajua kwa nini?
Msaada pls.

mbona mimi naangalia bila shida
 
mmmm kwa mfumo wa analog . ....? maana huo ulifungwa......leo hii n kucheza na apps tu vinginevyo hiyo sm yako n unique...

Angalia hiyo comment yangu ilikuwa ya mwaka gani na wewe unauliza mwaka gani?
 
Back
Top Bottom