Kuandikisha mtoto darasa la kwanza 55,000/=

Kuandikisha mtoto darasa la kwanza 55,000/=

inawezekana mchango huo una malengo mazuri lakini je, mtu asiyekuwa nazo mtoto wake asisome?sasa aende wapi?
 
Katafiti tena sababu ya wachina kupanga idadi ya watoto. Halafu uelimike ni kwa nini wanakijiji waruhusiwe kuzaa watoto wawili ilhali matajiri wa mjini kama wewe wazae mtoto mmoja tu. Usikariri tu. Otherwise kushupalia kuwa eti ada za kuandikisha watoto kwenye shule za awali za public ni akili za kifisadi, nothing less. Wakati mawaziri wenye mtazamo mpana wanadai elimu bure inawezekana, mtoto wa fisadi anahoji sababu ya raia mmoja kuzaa mtoto mmoja tu. Sijui alipaswa kufunga uzazi!? Na kesho wewe ndo unakuwa waziri, maana nchi hii haiishiwi na maajabu!
Mkuu ulikuwa ushauri wa bure, wewe zaa mitoto kedekede utakayoshindwa kuilipia ada.
Na hapo ni mwanzo tu, jizalie watoto sita hadi tisa kisha walaumu mafisadi kwa kutosaidiwa na serikali kuwatunza.

If you plan to fail, fail you will.
Na hakuna escapist theories zitakazokuokos na matatizo yatakayokufuata kokote unako kwenda.
 
Aleyesoma tu hiyo amount ashaelewa. Mchango wa uniform? Unadhani hii ni St..... primary school mpaka iwepo ada ya uniform? Umesoma shule gani wewe, St. Madalena eeeh! Madawati? Majengo? Usinshangaze, yaani wazazi wabanwe kwenye kuandikisha? Kwamba bila kutoa pesa, hakuna kuandikishwa? Kwa vikao vipi? Haki ya kupata elimu iko wapi? Kama unadhani ni majungu well and good, ila nimeshakusoma vizuri tu tangu post yako ya kwanza. Hizi shule huzijui wewe, ndo maana unaleta experience za international, mnakonunua shati jeupe na kaptula ya khaki kwa 55,000/=.
duuh mkuu, mengine uko sahihi juu yangu lkn, mengine umenisingizia, ila naungana mkono , na wewe kiasi hicho cha fedha ni kikubwa kwa mtu ,wa kawaida ila umeninyima haki yangu kujua mchango huo, ameambiwa ni wa nini?
 
Mkuu ulikuwa ushauri wa bure, wewe zaa mitoto kedekede utakayoshindwa kuilipia ada.
Na hapo ni mwanzo tu, jizalie watoto sita hadi tisa kisha walaumu mafisadi kwa kutosaidiwa na serikali kuwatunza.

If you plan to fail, fail you will.
Na hakuna escapist theories zitakazokuokos na matatizo yatakayokufuata kokote unako kwenda.

Heri ni wewe usiyefuatwa na matatizo. Unakula unashiba unasahau class ya walio wengi. Hawa unaowakandia ndio majority mliowajengea shule za kata. Na kuwatapeli kuwa elimu ya msingi ni bure, wakati mnajua kabisa mtawatoza ada. Maisha yangu huyajui, itoshe tu kusema hayo. I think big, not copy and paste. So don't be fooled with your mommy's condition today, kwa sababu hujui hao mnaowanyima elimu wataamkaje kesho. Eti watu wote huzaa kwa mpango, you make me laugh. Sijui unaishi nchi gani hasa, maana kama ni Tanzania hii, ulipaswa kujua hali ilivyo.
 
Michango kama hii mara nyingi ni kwa ajili ya dawati, choo na mlinzi! Hali ni ya kawaida kwa shule nyingi hasa za mijini
 
Heri ni wewe usiyefuatwa na matatizo. Unakula unashiba unasahau class ya walio wengi. Hawa unaowakandia ndio majority mliowajengea shule za kata. Na kuwatapeli kuwa elimu ya msingi ni bure, wakati mnajua kabisa mtawatoza ada. Maisha yangu huyajui, itoshe tu kusema hayo. I think big, not copy and paste. So don't be fooled with your mommy's condition today, kwa sababu hujui hao mnaowanyima elimu wataamkaje kesho. Eti watu wote huzaa kwa mpango, you make me laugh. Sijui unaishi nchi gani hasa, maana kama ni Tanzania hii, ulipaswa kujua hali ilivyo.
Mkuu naona unashindwa kunielewa.
Kitu inaitwa serikali is an amorphous beurucracy that is faceless and painless.
utaahidiwa mengi sana lakini majukumu ya familia yko hakuna wa kukubebea.

Ujamaa ulikwisha na Mwalimu na uliuwawa yeye angli hai na huku akiona.
Nothing is for free.

Realities za 20th century ndio hizo, kula kilicho kibindoni, kwa mtu binafsi na hata kwa serikli.
Kodi inayokusanywa na serikali mara zote haitoshi na ndio maana wafadhili wanajaziliia.

Sasa leo mtu ana watoto sita, halafu ana mategemeo ya kusaidiwa na serikli ambayo bajeti zenyewe ni finyu.
Usipoweza kujisaidia binafsi usitegemee sana serikli , hasa kwa level ya familia.
 
Back
Top Bottom