Kuandika Nakala ya Wakfu

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
513
Assalam alleykum!
Habari zenu?
Ndugu zangu naomba msaada wa namna ya kuandika nakala ya Wakfu. Mzee wangu ameamua kutoa eneo lake (kiwanja) kwa ajili ya wakfu, sasa nahitaji mwongozo huo kisheria. Kama kuna sampo ya nakala ya kisheria wakfu ntashukuru nikipatiwa! Itapendeza zaidi ikiwa katika lugha ya kiswahili! Tunahitaji kuipata ili familia ijadili. Eneo ni mali yake mwenyewe na sio letu watoto

Asanteni
 
Back
Top Bottom