bona
JF-Expert Member
- Nov 6, 2009
- 3,798
- 1,444
Kigoma ndio kwenye mchezo huo. Waha mna nini ?
acha upumbavu wanaochora kila mahali kwenye kuta huku dar ni waha???
Kigoma ndio kwenye mchezo huo. Waha mna nini ?
"chezea mavi wewe!,lazima uta kaa tu". Nilichoka ukizingatia nilishikwa na tumbo la kuendesha!
Tabia hii bado waha wanayo ? katika makabila niliyo ona ni vigumu kuishi nao ndio wenye tabia hiyo hususan WAHA. WAKURIA. WAGOGO. WANDENGEREKO NA WAMBULU.