Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

You're too low...you can't provoke me! Please do try somethin different.

sokwe wa Gombe ni 60% ya binadamu! They have blood groups with rhesus factor.

Jane Goodall atakusaidia!

they get period like women! They behave like humans by lactating, carrying, canning ones with bad deeds

blame the legends of evolution like;
1. Charles Darwin
2. Alexander Oparin
3. John Lamarck
 
Last edited by a moderator:
Najua ukweli unauma ila ndio ukweli sasa, stop being ignorant and do somethin positive, kunya hovyo haifai na kupaka vinyesi ukutani ni zaidi ya utaahira.

Its a psychological disorder dude!
 
sokwe wa Gombe ni 60% ya binadamu! They have blood groups with rhesus factor.

Jane Goodall atakusaidia!

they get period like women! They behave like humans by lactating, carrying, canning ones with bad deeds

blame the legends of evolution like;
1. Charles Darwin
2. Alexander Oparin
3. John Lamarck

Kwan nahitaji msaada mkuu? Wa nn? Ili iweje? Do I need to blame the legends of evolution! Why?! I just don't understand what you talking about!.
 
Last edited by a moderator:
Kwan nahitaji msaada mkuu? Wa nn? Ili iweje? Do I need to blame the legends of evolution! Why?! I just don't understand what you talking about!.

Okay sokwe, Peace
 
Last edited by a moderator:
Najua ukweli unauma ila ndio ukweli sasa, stop being ignorant and do somethin positive, kunya hovyo haifai na kupaka vinyesi ukutani ni zaidi ya utaahira.

Ukiacha pombe za kienyeji huwa una akilo saana kaka sokwe. Jst kidding.

Bt i got you on point again here bro. Simply genius.
 
Kama uwanja wa Taifa baada ya matengenezo, siku ya mechi ya kwanza watu wameweka machata na kukojoa kwenye masinki ya kunawia mikono
 
Ni utoto da umenikumbusha mbalisana .....primary...mkimaliza paper Mara kweny mashati ...nk .....hasahsa shule zetu za kayumba
 
Kama uwanja wa Taifa baada ya matengenezo, siku ya mechi ya kwanza watu wameweka machata na kukojoa kwenye masinki ya kunawia mikono

Unaona sasa watu wengine walivyokuwa mataahira mkuu, waafrika tuna safari ndefu sana, watu Kama hao ni wakuwamwagia mavi na mikojo kwenye miili Yao na viboko sana.
 
Unaona sasa watu wengine walivyokuwa mataahira mkuu, waafrika tuna safari ndefu sana, watu Kama hao ni wakuwamwagia mavi na mikojo kwenye miili Yao na viboko sana.
Ni kweli kabisa mkuu, safari bado ndefu sana, tunahitaji maombi kwa kweli
 
Nijuavyo mimi chooni ni sehemu mujarab kwa kupanga mipango yangu,yaani nikiingia kule mwenyew ehutulia nakata gogo taratiiibu huku nikipanga na kupangua !
 
Tabia hii bado waha wanayo ? katika makabila niliyo ona ni vigumu kuishi nao ndio wenye tabia hiyo hususan WAHA. WAKURIA. WAGOGO. WANDENGEREKO NA WAMBULU.
 
Ndio wanaochora katuni za matusi kwenye final paper
 
has something to do with mental dev't behavior.....
 
Back
Top Bottom