Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

super nova

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
1,478
Reaction score
1,099
hivi kwa nini watu hupenda kuandika aidha majina yao au matusi ukutani..hasa kwenye vyoo vya jumuia.
 
Kuna wengine utakuta mavi eti ndi yametumiaka kama rangi ya kuandikia.
Sasa unajiuliza inamaana alidokoa mavi kwa kidole chake halafu ndio akaandika!
 
hili katika PSYCHOLOGY tunaita FIXATION yaani kurudia hatua aliyoiruka wakati mtoto kwenye makuzi yake.

Hivyo kuruka ANAL STAGE wakati wa utoto huleta matatizo kama hilo au kukojoa kitandani

Mtoto akiruka oral stage unaona ukubwani anapenda kunyonya vidole na wakina dada kupata zaidi orgasm through BLOWJOBING

Pia mfano mwingine ni akina mama watu wazima kucheza michezo ya kitoto na watoto huku akifunua mavazi yake hasa sketi

ukisoma vitabu vya Sigmund Freud, Erik Erikson vimeelezea vyema

kahtaan
 
Last edited by a moderator:

hii katika HIP HOP tunaita CHATA yaani unapiga machata ili kufikisha ujumbe kwa jamii.
 
Last edited by a moderator:
graffiti sio ya kifala hivyo..hiyo nguzo ya hip hop haipo kwa wasela nondo.
 
hili katika PSYCHOLOGY tunaita FIXATION yaani kurudia hatua aliyoiruka wakati mtoto kwenye makuzi yake.

Hivyo kuruka ANAL STAGE wakati wa utoto huleta matatizo kama hilo au kukojoa kitandani

Mtoto akiruka oral stage unaona ukubwani anapenda kunyonya vidole na wakina dada kupata zaidi orgasm through BLOWJOBING

Pia mfano mwingine ni akina mama watu wazima kucheza michezo ya kitoto na watoto huku akifunua mavazi yake hasa sketi

ukisoma vitabu vya Sigmund Freud, Erik Erikson vimeelezea vyema

kahtaan

inaonekana ww ni mwalim!
 
Last edited by a moderator:
Ukienda vyoo vya semina rooms za chuo kikuu cha Dar(UDSM) utakavyo vikuta utashangaa!!"!!
 
Back
Top Bottom