Kuandaa movie ya muendelezo (Series)

Kuandaa movie ya muendelezo (Series)

Nimekusoma Mkuu na pia naona umejiandaa vilivyo ila ushauri kwa kuwa kuna eneo ambalo watengeneza movie za series bongo hawajaingia labda tamthilia (Siri Ya Mtungi n.k) wameonesha njia kwa series au upande wa dokumentari za kawaida ulimwenguni sisi Tanzania bado watu kama wewe hamjagusa basi wazo ni kuwa jikite ktk dokumentari kwanza.

Anza kwanza na dokumentari mfano ''Usafiri Tanzania'' Sehemu ya 1 : reli ya kati Dsm to Kigoma/Mwanza, Sehemu ya 2: TAZARA, Sehemu ya 3 : Usafiri wa baharini (wakisasa) DSM ZNZ PEMBA TANGA sehemu ya 4: Barabara DSM to Tunduma n.k

Ukiweza kuandaa dokumentari nzuri ya USAFIRI TANZANIA utakuwa umepata uzoefu mkubwa na pia kupata soko /wafadhili (Tanapa, Bandari, Reli, Usafiri wa Barabara) ndani na nje ya Tanzania kupitia Dokumentari bado hatujazungumzia mkato toka youtube , vituo vya televisheni kimataifa n.k

Mwisho wa siku utaweza kupata uzoefu mkubwa wa kuandaa kitu kama SERIES
 
Nimerudi..........

Hatua inayofuata ni kutafuta Production house ambayo nayo inatakiwa kukamilika, Cameraman na assistance wake, Video of photography, lights, Vocals, Make up artist na wengine, mmkiweka sawa huko mnatafuta Wasanii sasa! Na hapa ndo tunakosea......!

Wataalam wa story and script writing wanasema, Characters wakubwa kwenye Movie kwa maana ya Main Characters, Supporting Characters na Maadui, lazima watengenezewe tabia kwenye Story/Script, hasa main Character..

Mfano, Anapenda nini, kipi hapendi, anapenda pombe gani, labda anapenda mwanamke mwenye matako makubwa, Ana roho mbaya lakini Ana huruma na watoto n.k, hizi tabia zote huyo Character anatakiwa aziishi kwenye hiyo movie!

Mara nyingi Script writers huwa wanaweka sifa za Characters wake, mfano anamzungumzia Main Character wake lets say. Joe!

Atasema...
Joe kijana mwenye umri wa miaka 30, anaurefu wa futi 6, Ana mwili uliojengeka kimazoezi kiasi, anapenda pombe lakini Ana hasira, anapenda kufanya mazoezi n.k

Pia ataandika sifa za Supporting Character ambaye atakuja kuwa mke/mpenzi wa Joe...

Ataandika....
Anita ni msichana wa miaka 25, Ana urefu wa futi 5.5, mwenye mwili kiasi ila mwenye matako makubwa, anapenda urembo, mazoezi n.k....

Kama Director akianza kuchagua Cast, wajihi wa wahusika ndo kigezo cha kwanza baada ya uwezo wa kuigiza, ataanngalia umri, urefu kama script inavyotaka, na sio kwa sababu wewe Ni mweupe au umeweka wave nywele!.....
Nimekuelewa sana Mkuu! Bongo movie mahali ambapo wanashindwa kabisa ni kuwatengeneza wahusika (casts) wakuu na wasaidizi. Na nadhani sababu ya hili ni kuwa waandaaji wanafikiria watu ambao wapo tayari (Marafiki, n.k).

Kaka.
 
Kiukweli unaweza andaa story nzuri sana na ukawa na bajeti nzuri ila watakao kuangusha ni waigizaji.....bongo muvi 90 percent hakuna waigizaji makini,wapo wachache sana.
Wengi wao wanaigiza kuigiza thats why hawavutii kbs.
Najua utapata wakati mgumu sana kwenye kipande hiki.
Maoni yangu ni haya....kulingana na mazingira tunayoishi ningependekeza stori yako iwe na uhalisia means nature...unaweza tengeneza series inayomuhusu Chief Mkawa from the begin up to death.
Ukiangalia wenzetu wanazitumia series zao kujitangaza hasa tamaduni zao km wapi wametokea mpk walipo sasa ndo mana zinapendwa na kuvuka mipaka kwasababu zna upekee ukilinganisha na hizi za kuigiza tamaduni za watu.
Ngoja niishie hapa.
Umeranda kwenye fikra zangu Mkuu. Kwa nyongeza tu, Unaweza kutengeneza series kuhusu tawala za kichifu lakini pia unapaswa kufanya utafiti kwanza kulingana na hadithi yako kabla ya yote.

Kuna msanii ilimlazimu kuishi Afrika Kusini kwa muda akijifunza kuhusu Winnie Mandela ambaye alikuja kumwigiza tena bado Winnie aliona kama bado yule mwigizaji hajabeba rule uhusika kikamilifu.

Kaka ...
 
Nipe Millioni 10 nikuandikie Pilot ya series hiyo ikiwa idea ni ya kwako

Nipe Millioni 20 nikuandikie Pilot ya series hiyo ikiwa idea ni ya kwangu

Kama utataka nikuandikie season nzima nipe 100 hapo nimekupunguzia kwa maana itakuwa ni episode 12 itakayokuwa inarushwa kwa wiki 12

kama utataka wiki 24 kwa maana episodes 24 nipe

200 hapo nimekupunguzia mill 40

kazi kwako ni
bei zangu ndio hizo kama mfuko wako unajitosheleza ni pm kama mfuko wako haujitoshelezi usikate tamaa utapata writers wengine wengi tu
 
Nimekuelewa sana Mkuu! Bongo movie mahali ambapo wanashindwa kabisa ni kuwatengeneza wahusika (casts) wakuu na wasaidizi. Na nadhani sababu ya hili ni kuwa waandaaji wanafikiria watu ambao wapo tayari (Marafiki, n.k).

Kaka.
Upo sahihi mkuu! Na Watanzania wenyewe Kama walaji ndo wameua hii bongo movie, hasa wadada, wangeenda Library utasikia "Una movie mpya ya Ray, JB ama Wema?" Wala haulizi labda "Una Movie gani mpya nzuri?" Always huwa nasema ikitokea siku Watanzania wakianza kununua Movie za Bongo kwa sababu ya director flan ka direct hiyo Movie, ama Producer flani ka produce hiyo Movie ndo itakua kipindi tunaweza shindana international......Producer wa Movie za Bongo, tayari washajua Wasanii wa kucheza Movie kabla hata hajapata story ama Script.....all in all hawa waliopo akili zao zimeishia hapo na hawawezi kubadiri chochote, watu toka nje ndo watabadirisha hii game wakiingia!
 
Niliwahi kucheza "short film" mwishoni mwa miaka ya 90 na ilinichukua mwezi hivi kuuvaa ule uhusika. Sasa bongo movie wanaoweza kusubiri muda huo!
 
Nipe Millioni 10 nikuandikie Pilot ya series hiyo ikiwa idea ni ya kwako

Nipe Millioni 20 nikuandikie Pilot ya series hiyo ikiwa idea ni ya kwangu

Kama utataka nikuandikie season nzima nipe 100 hapo nimekupunguzia kwa maana itakuwa ni episode 12 itakayokuwa inarushwa kwa wiki 12

kama utataka wiki 24 kwa maana episodes 24 nipe

200 hapo nimekupunguzia mill 40

kazi kwako ni
bei zangu ndio hizo kama mfuko wako unajitosheleza ni pm kama mfuko wako haujitoshelezi usikate tamaa utapata writers wengine wengi tu
Mkuu hii kazi umeshawahi kuifanya na ukalipwa hizo pesa ulizozitaja?...
 
Mkuu hii kazi umeshawahi kuifanya na ukalipwa hizo pesa ulizozitaja?...

hizo ndio bei elekezi zangu ndio kama unaona ni kubwa unaweza kwenda kwa waandishi wengine
 
Mimi nina story juu ya m23 ila najua tanzania hatuwezi kupata tools hata kupewa locatio Jeshini.
 
Niliwahi kucheza "short film" mwishoni mwa miaka ya 90 na ilinichukua mwezi hivi kuuvaa ule uhusika. Sasa bongo movie wanaoweza kusubiri muda huo!
Hakuna Muda huo kwenye Bongo Movie mkuu! Utapewa script week 1 kabla, siku 3 kabla, siku 1 kabla ama siku ya shooting yenyewe ndo ukapewa script, ama utaambiwa tu script haipo, utapewa wenyewe wanaita "Muongozo" utaambiwa Kwenye Scene yako wewe ni Kaka, Mdogo wako unamlipia Ada na kila kitu, na unaishi naye nyumbani, siku unarudi home, unamkuta mkeo na Mdogo wako wakiibanjua amri ya sita" then unaammbiwa utaweka ubunifu wako mbele.......Movie yenye scene kama hii inategemea kuingia sokoni, Movie yenye scene kama hii Producer ataipeleka ZIFF! Hafu baadaye tunawaza kwenda international level!
 
Mimi nina story juu ya m23 ila najua tanzania hatuwezi kupata tools hata kupewa locatio Jeshini.
Upo sahihi mkuu, huwezi ukapewa kambi ya kushoot Bongo hapa..........! Hapa ndo Kuna mtihani linapokuja swala la kupata Location! Ila usife moyo, kama unaikumbuka Black Diamond yule actor Black alikua na story ile kaiandikia script but hakua na uwezo wa kushoot, idea yake ilikua kuhusu kundi la waasi la KONYI-Uganda. Coz na yeye ni mganda, at the end Wazungu toka Marekani waliweka mpunga Mezani Movie ikafanyika Liberia kama sikosei!.........So kama idea yako ipo tight Kuna siku utakuweza kushoot hiyo short film yako hata nje ya Tanzania.
 
hizo ndio bei elekezi zangu ndio kama unaona ni kubwa unaweza kwenda kwa waandishi wengine
Umewahi kufanya hizo kazi hapa bongo na ukalipwa hizo pesa??.. Ndo nilichouliza
 
Hakuna Muda huo kwenye Bongo Movie mkuu! Utapewa script week 1 kabla, siku 3 kabla, siku 1 kabla ama siku ya shooting yenyewe ndo ukapewa script, ama utaambiwa tu script haipo, utapewa wenyewe wanaita "Muongozo" utaambiwa Kwenye Scene yako wewe ni Kaka, Mdogo wako unamlipia Ada na kila kitu, na unaishi naye nyumbani, siku unarudi home, unamkuta mkeo na Mdogo wako wakiibanjua amri ya sita" then unaammbiwa utaweka ubunifu wako mbele.......Movie yenye scene kama hii inategemea kuingia sokoni, Movie yenye scene kama hii Producer ataipeleka ZIFF! Hafu baadaye tunawaza kwenda international level!
Sawa sawa.

Kaka ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom