"KUAMINI" ni mashaka bali ni "KUJUA"

"KUAMINI" ni mashaka bali ni "KUJUA"

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,691
Reaction score
2,303
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.

Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.

Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu wanakufa,tunaamini baba na mama kwa sababu wanatuzaa,nk.

Unaaminije katika yesu na muhamadi wakati huwajui na kuwaacha babu na bibi zako unaowajua kupitia ukoo wako?
 
Ni kweli umeandika lakini haujaeleweka.Au nia yako ilikuwa usieleweke?
 
Kuamini huja Kwa kusikia,,ukishajua sio Imani tena.Unaamini usichoweza kukiona hata kukigusa.
 
Attachments

  • 2025_08_31_21.53.44.png
    2025_08_31_21.53.44.png
    1.6 MB · Views: 9
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.

Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.

Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu wanakufa,tunaamini baba na mama kwa sababu wanatuzaa,nk.

Unaaminije katika yesu na muhamadi wakati huwajui na kuwaacha babu na bibi zako unaowajua kupitia ukoo wako?
 
Attachments

  • 2025_08_31_21.53.44.png
    2025_08_31_21.53.44.png
    1.6 MB · Views: 13
Hata mi sijaelewa alichokiandika kabisaa
Siyo rahisi kuelewa kwani siyo kwaajili yako ila walioandikiwa wameelewa.

"Loeb S Mpalasinge
Loeb S Mpalasinge
JF-Expert Member
Aug 8, 2025
Add bookmark
#4
Kuamini huja Kwa kusikia,,ukishajua sio Imani tena.Unaamini usichoweza kukiona hata kukigusa.
Thanks Quote Re"

Aliyeelewa huyo mmojawapo!!
 
Back
Top Bottom