Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 919
- 1,101
- Thread starter
-
- #101
Sawa kwa sasa upo upande gani. Umejiajiri au umeajiriwa. Afu umaskini ni upi na utajiri nini. Mtu aliyejiri hawezi kuwa maskini wa kipato ata siku moja.πππ duuh akili zako . Kuna akili na elimu kijana we endelea kukaririKama mitihani ingekuwa rahisi kama unavyo chukulia mambo, wa mwisho angepata B
Jitafakari!
Ni kweli kabisa , pia kujiajiri hakukuhakishii kuwa tajiri, unaweza kuwa umejiajiri ukawa masikini tu miaka nenda rudi unaambulia kula na kusomesha tu
Hakuna uhakika 100%
Ila kujiajiri kunaweza kukakufanya ukawa tajiri ila ajira ni asilimia ndogo sana kuwa tajiri sana kwa ajira ,ndogo sana tena maranyingi labda ufanye kazi huko IMF , world bank tena international positions
Vile vile kujiajiri kutoboa ni jasho la damu .
Mimi nimekaa pande zote mbili
Najua husle za kujiajiri na husle za ajira
Sitetei upande wowote
Kwa maisha ya kiafrika nazungumzia
..mkuu upo sahihi..ila nadhani mtoa mada anaongelea kwa context ya nchi maskini yenye fursa zaidi kama yetu..waajiriwa wa ulaya wanalipwa vizuri sana na wanaishi quality life na Gov zao zinatoa huduma zote kwa quality ya juu sana na kwa wote.Narudia Watafiti Kwa maana Watalaamu unajua kuwa ni waajiriwa, Watengeneza madawa, Wanaunda ndege, magari, meli, na Watengeneza bidhaa mbali mbali ni Waajiliwa, Mo, Bhaharesa Wanategemea wataalamu wao, kwenye shuguri zao.
Hao maprofesa ni Wataalau huwa hawajiajiri wao huajiriwa Silaha zinazo tikisa Dunia ni kazi ya waajiriwa, Computer zao la waajiliwa. Sector zinatofautiana ndugu yangu.
Ni fikra na utumwa tu kwa pamoja vikiwa kichwani.Ko wewe ukiingiza 100,000 kwenye genge na alieajiriwa anapata mil 2 labda unaona anaepata 100,000 ndio sio mtumwa?
Kwahiyo nazani ni ufinyu wako wa fikra,pia kwahiyo daktrari ni mtumwa wa kifikra? ,manesi,waalimu ?
Sasa,
Kama hauna uhuru wa kifedha ni mtumwa wa fedha tu uwe umeajiriwa au hujaajiriwa
Kumbuka asilimia kubwa ya matajiri unaowaona mjini walianzia kwenye utumwa unaousema wa ajira , lakini wakajifunza misingi .
Kwahiyo hakuna kanuni maalumu
Hapo uliemuuzia akili anakuchukulia kama ndondocha ake[emoji3][emoji3]Mimi nimeajiriwa but still natembelea BMW,Nina nyumba 5,mashamba 5,nyumba 5 na Nina wake 4, wewe je mwenzangu?
Wewe kama tu huwezi kujikomboa na kuweza kutumia akili yako bado ni mtumwa.Mimi nimeajiriwa but still natembelea BMW,Nina nyumba 5,mashamba 5,nyumba 5 na Nina wake 4, wewe je mwenzangu?
Kama walimutu ndio wanaolia njaa mtaani kwako itakua mtaa wa ajabu.Ndo ilivyo sikataa ila kujiajiri uwaga changamoto mtu akishazoea mwisho wa mwezi anapata kiasi fulani. Kwanini walimu wanalia njaa
Soma vizuri posta acha harakaKama walimutu ndio wanaolia njaa mtaani kwako itakua mtaa wa ajabu.
Hujawaona polisi ambapo hata walifikia hatua yakuambiwa wachukue mlungula wapate hela ya kiwi?
Vp wauguzi na manesi. Unajua watumishi wamabenki wanalipwaje.
ππππ we umeolewa kwenye vitu ulivotaja labda shamba ila sijaona kingine hapo na shaba ukiwa na shida unauza we kalaleMimi nimeajiriwa but still natembelea BMW,Nina nyumba 5,mashamba 5,nyumba 5 na Nina wake 4, wewe je mwenzangu?
Nondo watajua tuNi fikra na utumwa tu kwa pamoja vikiwa kichwani.
Na hiyo kupenda fedha kwa kuuza akili yako kwa mwanaume mwenzako unamzalishia 10 anakupatia 5 huo sio utumwa?
Sasa hivi kuna wanaume wamekuwa mashoga na wanabinulia matako wanaume wenzao ila wanapewa pesa ndefu baada ya kupumuliwa kisogoni na ni matajiri sasa hapo utaongea nn?
Kuuza akili yako kwa mtu mwingine hiyo haina jina zaidi ya uhayawani.
Wwnye IQ mujarabu hawadumu katika utumwa huo ila vilaza kama wewe huna pakwenda zaidi ya kufia humo ama kusubiri ukongoroke upewe mafao urudishwe kijijini kwenu
Wacha uzwazwa, kuajiriwa ni utumwa.
Leo ukifukuzwa unakufa kwa presha.
Kwani m10 huwezi kuitafuta bila kuuza akili yako kwa mwanamme mwenzako?
Hakuna IQ kubwa inaajiriwaga hapa duniani..
Low and mid IQ ndio wanaajiriwaga.
Wewe mshahara wa kupewa mwisho wa mwezi utajilinganisha na mtu anae hustle?
Hujui unacho ongea. Wewe mteja wako akikutaka saa 8 usiku huendi?.Mrejesho gani.. me nimejiajiri siendeshwi .. kuajiriwa utumwa maanake huwezi kuwa huru. Mwajiri wako akikuhitaji saa nane usiku lazima uende mzee
Ulisikia wapi πWanaosema hivyo ni walioanza biashara na hawajapitia misukosuko ya biashara
Endelea kuuza akili yako kwa mwenzako....Hujui unacho ongea. Wewe mteja wako akikutaka saa 8 usiku huendi?.
Nimepitia maisha ya aina zote mbili, yaani kuajiriwa na kujiajiri. Asikwambia mtu...kujiajiri ni kugumu mnooo. Ni wachache sana wanao weza kujiajiri. Lazima uwe mchapa kazi, na craetive. Mara nyingi wewe mwenyewe ndo utafanya karibia kazi zote...uende bank, ufanye kile, utafute wateja, uandae mzigo au chochote mteja wako anachotaka etc.
Kimsingi ukiona ajira ni utumwa, kujiajiri ni utumwa pro max.
Umesema hamna mtu aliyekuwa Tajiri kwa kuajiriwa.we ni messi au Ronaldo...lete mifano hai. Ata hivo messi sio mtumwa anaweza kuacha mpira na kufanya mambo mengine. Au unajua maana ya UTAJIRI au umaskini?
Pole sanaNi fikra na utumwa tu kwa pamoja vikiwa kichwani.
Na hiyo kupenda fedha kwa kuuza akili yako kwa mwanaume mwenzako unamzalishia 10 anakupatia 5 huo sio utumwa?
Sasa hivi kuna wanaume wamekuwa mashoga na wanabinulia matako wanaume wenzao ila wanapewa pesa ndefu baada ya kupumuliwa kisogoni na ni matajiri sasa hapo utaongea nn?
Kuuza akili yako kwa mtu mwingine hiyo haina jina zaidi ya uhayawani.
Wwnye IQ mujarabu hawadumu katika utumwa huo ila vilaza kama wewe huna pakwenda zaidi ya kufia humo ama kusubiri ukongoroke upewe mafao urudishwe kijijini kwenu
Wacha uzwazwa, kuajiriwa ni utumwa.
Leo ukifukuzwa unakufa kwa presha.
Kwani m10 huwezi kuitafuta bila kuuza akili yako kwa mwanamme mwenzako?
Hakuna IQ kubwa inaajiriwaga hapa duniani..
Low and mid IQ ndio wanaajiriwaga.
Wewe mshahara wa kupewa mwisho wa mwezi utajilinganisha na mtu anae hustle?
Akijibu ni tag!Umesema hamna mtu aliyekuwa Tajiri kwa kuajiriwa.
Mesi na Ronaldo wameajiriwa na timu zao.
Nimekuuliza.... MESI NA RONALDO NI MASIKINI?