Kuajiriwa mara ya pili

Kuajiriwa mara ya pili

jaruri

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
717
Reaction score
459
Wadau naomba kujua kwamba kwa mtu ambae ana check namba Kisha akaomba ajira serikalini lakini kwenye kurugenzi tofauti.

Mfano alikuwa Tamisemi akaomba kwa Katibu Mkuu akapata ,vipi anaweza endelea na cheque namba yake ya awali?
 
Tamisemi wanatumia Lawson hata kwa katibu mkuu hapo unahama na cheque namba yko na kutema mshahara mmoja km sio transfer unaingia kwny ajira mpya ila mkurugenzi wko lazima apitishe barua na ufungashiwe data zako.

Zipo taasisi za serikali hazitumii Lawson ukihama huko tamisemi umehama unaenda kuanza upya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom