STREET SMART
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 848
- 692
Hello wakuu,,naomba mnichambulie kwa kina katika hili,,kati ya kujiajiri na kuajiriwa katika mazingira yetu ya kitanzania bora lipi?? Natanguliza shukurani zangu wakubwa.
MKUU KATIKA MAISHA YETU NI LAZIMA TUWE NA MISSION, NI LAZIMA UJUE UNAPOELEKEA NA UNAPOTAKA KUFIKA KTK MDA FLANI MAALUM. SWALI LAKO NI SAWA NA KUULIZA KUWA FREEDOM NA SECURITY KIPI BORA? TATIZO MOJA KUU AMBALO LINATUANGAMIZA LEO HII NI TABIA YA MFUMO WA ELIMU YETU NA FAMILIA ZETU KUNGANGANIA KUWA EDUCATION IS THE KEY TO LIFE - BILA YA KUFAFANUA KUWA ITS WHAT YOU DO WITH YOUR EDUCATION THAT COUNTS. LEO HII MOST OF US WE GO TO SCHOOL TO BE EMPLOYED HATUPANUI BRAIN ZETU KUANGALIA A GREAT WORLD OF POSSIBILITIES AND ABUNDANCY.
KAMA UNATAKA KU WORK HARD KUPANDA VYEO UTAFANIKIWA ILA
1. YOUR INCOME IS ALWAYS LIMITED (MPAKA BOSI APENDE)
2. YOU WILL NOT BE FREE - HAUTAKUWA NA MDA/PESA ZA KUTOSHA KUENJOY NA FAMILY YAKO
3. BY 80% YOU WILL BE BROKE WHEN YOU RETIRE
4. UTAJAWA NA FEAR YA KUFUKUZWA/ KUKOSA KAZI MAISHA YAKO YOTE
5. NOW DAYS HAKUNA JOB SECURITY
THE No 1 ASSET YOU BUILD/ BUY IS YOUR BUSINESS( BIASHARA AMBAYO HAILALI WEWE UKILALA/ HAIFI WEWE UKISAFIRI AU KUUMWA. BIASHARA YENYE SYSTEM IANAYOENDESHWA NA WATU WENGINE NA WEWE OWNER KAZI YAKO NI KU CONTROL HIYO SYSTEM. READ RICH DAD GUIDE TO INVESTING BY ROBERT KITOSAKI).
DUNIA HII YA LEO SUCCESSFUL PEOPLE WANA WORK AS A TEAM NOT INDIVIDUALY, HAWAAJIRIWI, WANACHOITAJI WAO IS JUST ONE SOUND IIL IDEA WATOKE.
KWA KUWA TUMESHANASA KTK MTEGO WA AJIRA KEEP YOUR JOB, LEARN TO BUILD BUSINESS AND MIND YOUR OWN BUSINESS. TODAY BEING AN EMPLOYEE IS SUICIDAL
mkuu kwa harakaharaka nimejua kwa nini umejiita jina la street smart,,unajua tunavyokuwa tunasoma kule shule tunakuwa zaidi madesa oriented,,lakini ukija huku mtaani ndio kwenye ukweli haswa,,aisee nashukuru kwa ufafanuzi huu mzuri,,unaozidi kuonesha kujiajiri ni bora zaidi.MKUU KATIKA MAISHA YETU NI LAZIMA TUWE NA MISSION, NI LAZIMA UJUE UNAPOELEKEA NA UNAPOTAKA KUFIKA KTK MDA FLANI MAALUM. SWALI LAKO NI SAWA NA KUULIZA KUWA FREEDOM NA SECURITY KIPI BORA? TATIZO MOJA KUU AMBALO LINATUANGAMIZA LEO HII NI TABIA YA MFUMO WA ELIMU YETU NA FAMILIA ZETU KUNGANGANIA KUWA EDUCATION IS THE KEY TO LIFE - BILA YA KUFAFANUA KUWA ITS WHAT YOU DO WITH YOUR EDUCATION THAT COUNTS. LEO HII MOST OF US WE GO TO SCHOOL TO BE EMPLOYED HATUPANUI BRAIN ZETU KUANGALIA A GREAT WORLD OF POSSIBILITIES AND ABUNDANCY.
KAMA UNATAKA KU WORK HARD KUPANDA VYEO UTAFANIKIWA ILA
1. YOUR INCOME IS ALWAYS LIMITED (MPAKA BOSI APENDE)
2. YOU WILL NOT BE FREE - HAUTAKUWA NA MDA/PESA ZA KUTOSHA KUENJOY NA FAMILY YAKO
3. BY 80% YOU WILL BE BROKE WHEN YOU RETIRE
4. UTAJAWA NA FEAR YA KUFUKUZWA/ KUKOSA KAZI MAISHA YAKO YOTE
5. NOW DAYS HAKUNA JOB SECURITY
THE No 1 ASSET YOU BUILD/ BUY IS YOUR BUSINESS( BIASHARA AMBAYO HAILALI WEWE UKILALA/ HAIFI WEWE UKISAFIRI AU KUUMWA. BIASHARA YENYE SYSTEM IANAYOENDESHWA NA WATU WENGINE NA WEWE OWNER KAZI YAKO NI KU CONTROL HIYO SYSTEM. READ RICH DAD GUIDE TO INVESTING BY ROBERT KITOSAKI).
DUNIA HII YA LEO SUCCESSFUL PEOPLE WANA WORK AS A TEAM NOT INDIVIDUALY, HAWAAJIRIWI, WANACHOITAJI WAO IS JUST ONE SOUND IIL IDEA WATOKE.
KWA KUWA TUMESHANASA KTK MTEGO WA AJIRA KEEP YOUR JOB, LEARN TO BUILD BUSINESS AND MIND YOUR OWN BUSINESS. TODAY BEING AN EMPLOYEE IS SUICIDAL
asante mkuu new mzalendo kwa mchango wako mzuri,,nimependa ulivyotumia maelezo ya tarakimu,,ili kuonesha faida ya kujiajiri dhidi ya kuajiriwa.Kweli umenena,I have Read Rich Daddy poor Daddy.
ila kuajiriwa Mr.Marandu iwe njia ya wewe kupata mtaji.kama tayari wewe unaomtaji wa unachotaka kufanya anza kukifanya.Pesa ya mshahara huwa haitoshi kabisa,ukipewe dola 1500 kwa mwezi matumizi yako yatafikia 1600 within 6months,na ukiongezewa to $2000 matumizi yatafikia $2300 kwa mwezi.
ChaMsingi ni kuunda biashara ili ikikomaa itakulipa mshahara wa dola 2300 na pia faida/dividend itabaki,utakuwa na job security,na utaweza kumrithisha ndugu/watoto biashara yako.
nashukuru sana manyusi kwa kuweka wazi suala la kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu,,unakuta mtu ana gari nzuri lakini mungu wangu kumbe ni ya mkopo,pesa ya mshahara inaishia kulipa madeni,,watu wanakufikiria unafaidi sana maisha,,kumbe mabenki ndiyo yanayokufaidi,,wewe unazidi kusota na kapesa kadogo kanako bakia.Watanzania tujenge nia ya kujiajiri tunaweza,tatizo kubwa tukiwa chuo tunafikiria ukiajiriwa mambo yanakuwa mazuri ukifanya kazi mwaka mmoja unakopa gari basi,kumbuka kwamba ukikopa gari utaanza kulipa deni,deni likiisha na gari limechakaa unataka kukopa lingine mpaka lini utaishi kwa ku service loan???????lakini ukiamua kujiajiri na kuishi kama mchaga maana mchaga anakuja mjini hapangi chumba akipata kibanda cha biashara ndo chumba chake hicho hicho baada ya muda watu wanashangaa maendeleo ya haraka aliyofikia kumbe anaishi mjini kima hesabu.Sikuambii uishi kwenye kibanda huo ni mfano tu,mara nyingine raha jipe mwenyewe maana hatuishi duniani mara mbili siku ikipita imepita hairudi. Kuna kichwa mkuu uwe na uchungu wa kujiajiri ili uajiri wengine
yes washahili wanasema PENYE NIA PANA NJIA, wazungu wanasema "THE WORD IMPOSSIBLE says itself I M POSSIBLE"Watanzania tujenge nia ya kujiajiri tunaweza,tatizo kubwa tukiwa chuo tunafikiria ukiajiriwa mambo yanakuwa mazuri ukifanya kazi mwaka mmoja unakopa gari basi,kumbuka kwamba ukikopa gari utaanza kulipa deni,deni likiisha na gari limechakaa unataka kukopa lingine mpaka lini utaishi kwa ku service loan???????lakini ukiamua kujiajiri na kuishi kama mchaga maana mchaga anakuja mjini hapangi chumba akipata kibanda cha biashara ndo chumba chake hicho hicho baada ya muda watu wanashangaa maendeleo ya haraka aliyofikia kumbe anaishi mjini kima hesabu.Sikuambii uishi kwenye kibanda huo ni mfano tu,mara nyingine raha jipe mwenyewe maana hatuishi duniani mara mbili siku ikipita imepita hairudi. Kuna kichwa mkuu uwe na uchungu wa kujiajiri ili uajiri wengine
ni kweli mkuu babalao,mojawapo ya sifa ya mabadiliko mazuri ni yale yanayoenda hatua kwa hatua na siyo yale ya ghafla,,chukulia mfano ukuaji wa binadamu,,jinsi inavyokua kwa hatua,,kuna msemo wa kimombo usema "anything right is worthy of time" kwamba kila kitu kizuri kinahitaji muda ilikifanyike,,misemo mingine ni ile ya "haraka haraka haina baraka" na "subira yavuta heri"Wakuu maisha yana fomula nyingi katika mawazo niliyoyapitia nimelipenda wazo la kuanza kufanya biashara pembeni huku ukiwa kazini. Wakati mwingine transition haipaswi kuwa rough ukiona mambo yamezidi upande wa biashara yako hapo unaacha. Napenda kutoa ushauri kuwa Tusikate tamaa kukata tamaa ni dhambi. Watanzania tumekuwa na tabia ya kulalamika na kulaumu wengine tunachotakiwa kukifanya ni kuwajibika na mambo yetu.
Mie napenda sana early retirement na kutravel the world hivo bana ikipatikana nafasi ya kujiajiri na kufanya mambo yangu, siezi fanya ajizi.
ni kweli.mkuu thats what life is all about; happiness, abundancy, serving others, freedom, life style of your dream........
Travelling the world imetulia sana.
Kujiajiri, ukiweza, ni jambo bora si kwako tu, bali kwa uchumi wa taifa pia. Ukijiajiri haiyumkini utapanuka hata kama ni polepole, na utaajiri wengine. Ndio maana mitaala ya vyuo siku hizi ina somo la ujasiriamali.
Kama walivyosema wengine, kutegemea kipato halali cha kuajiriwa kwa kawaida hakuwezi kukuletea utajiri. Lakini ukijiajiri - possibilities zinakuja.
Kuna muheshimiwa amesema unaanzisha mradi halafu unawapa ndugu ili hali wewe unaendelea na kazi huku ukiusimamia,hiyo nilijaribu lakini niliishia kukosana na watu tu,unakuta mwisho wa siku hata hela ya mtaji inakufa asikudanganye mtu kila mradi unahitaji close supervision hasa ukiwa mdogo biashara ikikomaa unaajiri watu ambao watakuwa na ukomo wa maamuzikatika biashara yako wewe ndo utakuwa mwenye maamuzi ya mwisho,nimempenda jammaa hapo juu aliyesema now wana graduate 5 aliowaajiri npermenent na wawili part time hicho ndo tunachotakiwa kufanya watanzania usitegemee unamsomesha mdogo wako akaajiriwe na watu muajiri wewe hata akikuibia bado atawasaidia wa kwenu.Kuna rafiki yangu mmmoja alisoma Chemical and procesing alikuwa na kaka yake ambaye kifedha yuko vizuri ni mmoja wa wasambazaji wa vocha wakubwa hapa town akamuuliza mdogo wake unataka profesional job au kuwa na mafanikio kifedha jamaa akasema mafanikio kifedha akamuambia basi kaa hapa wewe ndo utakuwa manager kazi zote chini yako maana kaka mtu shule haikuwa kubwa,dogo kaendesha biashara sasa hivi anatisha hapa town hakuangalia professiona kaangalia namna ya kutoka angeangalia profesional angekuwa hata kiwanja hana.
naomba niwe tofauti na wengi katika hili..UJASIRIAMALI SIO SOMO LA KUFUNDISHWA KAMA KIINGEREZA AU HESABU...ITS AN ART..gifted from the one HIGH ABOVE....watu wanazaliwa wajasiriamali na HAWAINGIZWI DARASANI kuwa wajasiriamali...ndio maana kunatofauti kubwa kati ya MFANYABIASHARA NA MJASIRIAMALI....wafanyabiashara wanafundishwa lakini wajasiriamali wanazaliwa na pia ni "kipaji kinachorithiwa"
Kuzaliwa na kipaji cha ujasiriamali, au vipaji vingine kama uongozi, uimbaji nk ni jambo ambalo lipo. Kama umezaliwa na silika fulani, kwa vyoyote elimu ya darasani/chuoni itakunoa zaidi. Elimu si ya kuipuuza kwa vile eti umezaliwa na kipaji. Utabaki na mawazo mgando ya utendaji.naomba niwe tofauti na wengi katika hili..UJASIRIAMALI SIO SOMO LA KUFUNDISHWA KAMA KIINGEREZA AU HESABU...ITS AN ART..gifted from the one HIGH ABOVE....watu wanazaliwa wajasiriamali na HAWAINGIZWI DARASANI kuwa wajasiriamali...ndio maana kunatofauti kubwa kati ya MFANYABIASHARA NA MJASIRIAMALI....wafanyabiashara wanafundishwa lakini wajasiriamali wanazaliwa na pia ni "kipaji kinachorithiwa"