Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa zisizo na ushahidi kwamba CHADEMA walikuwa wanakaribia kujaza watanzania mil 15 ili kuzuia uchaguzi.
Mimi siyo Godbless Lema Wala Mimi siyo nabii lakini kitendo Cha Rais wa Zanzibar na Rais wa Jamhuri Kuahirisha Kuvunja Bunge kwa mara ya kwanza katika ya Tanzania ni ishara ya wazi kwamba CCM na CHADEMA WATAKAA MEZANI Moja na kufanya Reforms kadhaa. Ndo maana Bunge halitavunjwa! Na kwa hatua hii NAOMBA nimpongeze Rais wa Tanzania mama Samia kwa ujasiri huo. Hiyo ni Hekima kwa Maoni yangu. Hata hivyo, Nina maswali matano ya kuuliza!
Swali la kwanza! Je, Taarifa za mitandaoni kwamba Bungeimeahirishwa KUVUNJWA ili CCM na CHADEMA wakae meza Moja ni za kweli? Kama ni Kweli!
Je, Kwa nini CCM Imeamua kukaa meza Moja na Chadema badala ya kwenda na vyama vile vingine 17? Vyama 18 vinaweza kushindwa dhidi ya Chama kimoja. Hii ina maana kwamba Vyama 18 vikishiriki uchaguzi bila Chadema bado ngoma inakuwa nzito kiasi Cha Kuahirisha Bunge? Je, hii ndo kuthibitisha vyama Vingine vya upinzani kwamba Chama Cha upinzani ni kimoja japa Tanzania? Kwamba bila Chadema uchaguzi haiwezi kuwa halali? Ina maana kwamba CHADEMA ina nguvu kuliko vyama 17 vya upinzani?
Swali la pili, kwa nini Mama Samia na CCM wameamua kukaa meza Moja na Chadema? Je, ni kwa sababu ya Nyomi ya Mikutano ya akina Mnyika, Rose Mayemba, Heche na Lema au Presha ya Kimataifa au Presha ya Kanisa katoliki na madhehebu mengine ai ni kwa sababu CCM na Mama ni wazalendo na kwa hiyo wameamua kutanguliza mbele maslahi ya nchi na mustakabali mwema wa nchi? Au mkusanyiko wa Vyote hiyo?
Swali la tatu, swali kubwa na tata! Je, Kitakachofanyika ni reforms au mfano wa Reforms? Je, CCM itakubali tume huru ya uchaguzi, kuanzia ngazi Taifa mpaka kwenye Vituo vya kupiga kura? Hili swali ni kubwa mpaka ninaogopa kufafanua zaidi ya hapo! Narudia tena, CCM itaunda tume huru ya uchaguzi??
Swali la Nne, swali gumu kwa wapinzani! Je, wakati CCM NA CHADEMA wakikaa MEZANI na kuvutana kuhusu Reforms, vyama Vingine vya upinzani vinakaa upande wa CCM au Upande wa Chadema? Maana kwenye agenda hii vyama 17 vya upinzani vilikuwa upande wa CCM na waliunga mkono Uchaguzi ufanyike bila reforms. Sasa nauliza kwamba kwenye meza ya upatanisho, vyama 17 vitakuwa upande gani??
Nina uhakika hili swali ni gumu kwa wapinzani! Ha ha ha ha ha.
swali la sita, hivi nani atakuwa mwenyekiti wa huo mjadala? Je, mjadala huo wa reforms utaanza lini na unaishia lini? Hili swali siyo dogo kwa sababu tulitumia mabilioni kwenye katiba mpya ya Warioba na Ikishia hewani kwa hasara.
Je, mjadala huo unaanza Lissu akiwa ndani au ameshatoka bila masharti? Akiwa Nje na Kesi au ameachiwa bila Masharti? Kama ndivyo, Kesi ijayo ya Lissu atatolewa!?
Swali la Saba, Uchaguzi wa Tanzania bado utakuwa octoba, 2025 au utafanyika 2027. Au 20230!? Jibu sahihi ni Lipi? Nani ataamuakuhusu muda wa Reforms? Mganga hajigangi? Kipindi Cha Reforms kinaamuliwa na wabunge au Rais? Je, Wabunge au Rais wenye Mgogoro wa kimaslahi juu ya jambo hil, wataamua kwa haki??
Siyo kwamba Maswali yameisha Ila Nimeona kwa Leo niishie hapa.
Nawakaribisha kwa mjadala usilo na mrengo kwa kisiasa Bali maslahi mapana ya nchi yetu.
By Mikael Aweda