BONDE KAYA
Member
- Nov 1, 2016
- 6
- 0
Ni hela ya bajaji hiyo.......
Ni hela ya bajaji hiyo.......
wapi sasa yadi au njeSamahani ivi nikiwa mil 4 naweza pata gari
Bajaj mil 7 ss hvNi hela ya bajaji hiyo.......
bajaj TVS ni 6.9M up to 7.5 MNi hela ya bajaji hiyo.......
Hii gari ukiinunua haitaka dumu mwezi kama haijaanza kuchoka! Tafuta jina lingine tofauti
Mpe tip hata ya bando basi!!Ok, sikujua
Mkuu hiyo gari ilivyokaa kama box umeipendea nini ?Mi nahitaji gari aina ya TOYOTA-BB.....Ntaipata wapi hapa Bongo.
mbia bei...kila mtu na mapenzi yake!Kwa nini walitengeneza umbo hilo...Mkuu hiyo gari ilivyokaa kama box umeipendea nini ?
Upo sahihiMkuu kununua gari Japan inakuwa nafuu kuliko hapa. Sababu zipo rahisi na unachagua unayoipenda, pia ina ubora kuliko kununua hapa mtu anakuuzia gari ina matatizo lukuki. Lakini angalia mfuko wako kama unaweza kununua Japan au kununua hapa hapa nyumbani.
Kwa kifupi nunua gari hapa nchini si lazima show room hata kwa ntuNaomba kwa wenye uzoefu wa kununua magari, kununua kwa kuagiza nje/japan na kununua hapa bongo yadi ipi nafuu?
Basi poa mkuuKama unayo nia
mbia bei...kila mtu na mapenzi yake!Kwa nini walitengeneza umbo hilo...