mzungukiyungu
New Member
- Nov 3, 2018
- 4
- 1
Napenda kupata muongozo. Nimeotaji kununua machine ya kuchania mbao kutoka china. Sasa sijaelewa vyema ni kwa namna gani fedha zangu zitakuwa salama. Kwenye hii biashara ili niwe na uhakika wa kuupata mzigo ninaotaka kuulipia.
Nipeni mwongozo ni kwa namna gani? Nitafanya na biashara ya kuagiza machine kutoka china itakuwa salama? Machine nimezipata kwenye tovuti ya alibaba.com
Nipeni mwongozo ni kwa namna gani? Nitafanya na biashara ya kuagiza machine kutoka china itakuwa salama? Machine nimezipata kwenye tovuti ya alibaba.com