Habari , Mpendwa Mteja Karibu Kuagiza Nasi Bidhaa Mbalimbali Kutoka China Kwa Gharama Nafuu Kabisa.
Tunafanya Sourcing Ya Bidhaa Zifuatazo.
Kama Kuna bidhaa unahitaji na haipo kwenye hizi category jisikie huru kuwasiliana nasi kwa ajili ya kupata huduma hiyo.
Mnakaribishwa kuchagua bidhaa mbalimbali na kuagiza kwa jumla kwa makundi bila mabadiliko yeyote katika bei elekezi ya bidhaa kwa Jumla.
Bidhaa zitatumwa (Baada Ya kuweka Oda na malipo) na kugawiwa Katika Store Yetu iliyopo Dar, kwa wateja waliopo mkoani huduma ya Express utatumiwa mzigo mahali popote ulipo mzigo ukishawasili Dar Kutoka China.
Kwa Mawasiliano Zaidi:
Piga simu namba:
+8615542167941 China
+255686540204 Dar / Moro
+255654212520 Dar
+255675214360 Mwanza
Instagram :mtbusinesssolutions
Karibuni