Kuadimika kwa mafuta ya taa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuadimika kwa mafuta ya taa.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mangandula, May 27, 2012.

 1. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #1
  May 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa muda wa siku tano sasa mafuta ya taa yameadimika ukanda wa huku kwetu mikoa ya Iringa, Njombe, na Mbeya. Sijui na nyie wenzetu huko Dar mtindo ni huohuo? Wanasema mpaka jumanne! Jamani wanajamii tujadili hili suala kwa siye tulio vijijini bora ikosekane sukari lakini siyo mafuta ya taa! Je ni halali kukosa mafuta ya taa kwa wiki nzima? Tafakari.
   
 2. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #2
  May 27, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jamani wana jamvi tujadili kuadimika kwa mafuta ya taa huku kwetu! Mikoa ya Iringa, Njombe na Mbeya. Je na mikoa mingine yameadimika? Maana bora tukose sukari kuliko mafuta ya taa kwa sisi tulioko vijijini, tutafakari.
   
 3. Jstrong

  Jstrong Member

  #3
  May 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Hapa mkoa Singida ndo usiseme jana nimezunguka karbu sheri zote hamna kerosene,serekali vp?
   
 4. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2012
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kuna njia mbadala ya mafuta ya taa kwa kutumia kwa mwangaza. Mojawapo ni kutumia taa kama hizi za solar za bei nafuu. Hizi zinakuwa badala ya kibatari. Kama kutahitajika mwanga zaidi kuna zingine za bei ya juu kidogo. Kwa maelezo zaidi tembelea hapa utaona taa za solar za Wakawaka.
   
 5. Mangandula

  Mangandula Senior Member

  #5
  May 28, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 186
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Na jiko la mchina utatumia nini? Maana bila mafuta halifanyi kazi na mkaa bei juu. Twafwaa!
   
 6. The Eagle2012

  The Eagle2012 Senior Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtajuta Kuichagua Ccm,huo ni Mwanzo tu!!
  Nchi haina Usimamizi Katika Kila Sekta!!
   
Loading...