Kuachwa au kuacha mtu uliyempenda kwa dhati inauma sana ILA sio mwisho wa maisha
shukuru Mungu huo kakwambia kuliko yule ambae anafanya visa kila siku ni pressure
Sali sana na usiruhsu maisha yako yarevolve kwa mtu mmoja
be thankful,kwa kile ulicho nacho(kila mtu ana ktu cha kuappreciate) inasaidia kuondokana na ile hali ya kujihisi kutokamilika
kaa na marafiki zako,have fun ila mambo yako usiyatoe
all the best