Km mimi 2 msichana mmoja nilimuuliza nn hatima yng na yy akanijibu kwanza dume langu linarudi toka Mozambiki kwa hiyo nisimsumbue tena.....yaani since dat day mm na mademu hazipandi kabisa.
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.