kuachwa nijambo la kawaida, we siwakwanza kuachwa na wala hutakuwa wa mwisho!!so huna haja yakujipa stress zisizo na sababu. Mtu hata mahari haijatoewa unaanza kujidai umeumia?nyie mlikuwa sex mates tu, jipange uanze upya. utapata tu wakuweka naye malengo, and this time nivema mkadefine malengo ya uhusiano wenu mapema kuliko kusubiria last minutes. Narudia tena, kuachwa au kuacha ni jambo la kawaida, fungasha virago ukaanze maisha kwengine!! kumbuka.......PAIN IS INEVITABLE BUT SUFFERING IS OPTIONAL!!

pole shoga ila wanawake inabidi tujielewe na tujue kujipenda kwanza sisi wenyewe. we mtu hujazaliwa nae hafu unampa moyo wako wote wa nini. siku zote mwanamke penda kwa kutumia akili sio moyo wala hutapata shida ya kuumizwa ukishafunga ndoa ndio ufungue moyo wako kwa 50% zingine baki nazo. hafu mtu anae kupenda kwa dhati utamuona tu atakuwa yupo makini kupanga mipango na ww atakushirikisha mambo yk na kadhalika.
Mshukuru Mungu, then achana nae fasta! Jiondoe katika hiyo shida, ukiendelea kujifanya unalialia atakamata hiyo "weakness" akuadabishe hasa! Binadamu sasa hivi hatueleweki (si Berlin si Warsal)!
Nakumbuka niliwahi kuwa na msichana nilimpenda haswa, siku moja nimemisplace simu yangu nikaichukua yake nijibip, khaa nikashangaa jina "salon", loh mimi na salon wapi na wapi! Kimyakimya nikaanza kuscroll phonebook. Nikaona mmoja mwenye bahati yake kaseviwa "husband to be", nilichoka!!
Nilikuwa na mpenzi kwa
muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua
kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena
anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.
Naombeni ushauri wana JF.
Kateme mate kwenye tundu la choo huku ukimwita jina lake utamsahau fasta
Nilikuwa na mpenzi kwa
muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua
kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena
anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.
Naombeni ushauri wana JF.
Nilikuwa na mpenzi kwa muda wa miaka miwili lakini alikuwa haniambii ukweli.Siku moja nikaamua kumuuliza hivi nini malego yetu? Akajibu nina msichana mwingine tena anarudi hivi karibuni kwahiyo tusitishe mahusiano.
Naombeni ushauri wana JF.