Kuachana kwa amani na mpenzi wako: Njia nane zinazopendekezwa...

aisee, yaani kumpiga mtu kibuti unahitaji maelezo yote haya? mbona ni issue simpo tu..
Tena kwa kizazi hiki cha "DUNIA YOTE KIGANJANI" upoteze muda na pesa za kukaa sijui wapi huko daaa ili umuage mmh..!!

Nowdays unamtumia sms fupi tu, then una_delete namba forever mpaka kwenye Google Drive.
 
aisee, yaani kumpiga mtu kibuti unahitaji maelezo yote haya? mbona ni issue simpo tu..
Si ndio hapo, hata Talaka tatu hazina mlolongo mrefu kama huo. sikuhiz kumuacha mtu ni kuanza mahusiano mapya tu, basi atajiongeza mwenyewe. Hakuna baya linalofanywa kistaarabu, baya ni baya tu.
 
Huwa natumia kumpandikiza chuki ili aamue yeye kuniacha kwa wakati ambao mimi nahitaji kuvunja mahusiano yetu, ahsante sikuwahi kuachana kwa fujo.
 
Duh!wakuu mimi nipo kikaangoni,mnishauri vyema maana nimezembea na kujiingiza kwenye tight angle...ila sasa,kibaya zaidi sipo tayari kucommit kwenye +ship!nahtaj mda kidogo...nitamweleweshaje mtu,ambaye kwa mda mfupi tumefahamiana tu,na tayar amejiwekea mazingira ya kuwa wangu!namwonea huruma sana!nashndwa kumwelewesha anielewe kuwa sipo tayar kuwa naye na wala sina mpango wa kumtumia!!!PLZ ADVICE
 
Habari wanaJF, naomba mnishauri pia kwa hili.

Nilikutana na binti mmoja mwaka 2012 katika mazingira ya kazini na tukaingia katika mahusiano, binti huyo alikuwa akiishi kwa dada yake mkubwa ambaye wamechangia mama. Kwa mujibu wa maelezo yake ni kwamba dada yake huyo alikuwa akimnyanyasa na kitendo kile kiliniuma sana nikaamua kumpangishia chumba akaanza maisha yake hapo, hiyo ilikuwa ni 2013. Tuliendelea na mahusiano mpaka niliamua kujitegemea mwaka 2015 na tangu mwanzo wa mahusiano yetu alikuwa akija mpaka nyumbani kwetu na ndugu zangu wote wanamfahamu. Aliamua kuja kuishi na mimi hivyo nilimkaribisha tukaishi wote, sasa hapa ndo matatizo yakaanza.

Alianza kuzua migogoro ndani na hatukuwa tunaelewana mara nyingi, nilikuwa na biashara nikamweka asimamie biashara ile nilikuwa najua inaingiza kiasi gani lakini tangu aanze kusimamia iliyumba na hakuwa ananishirikisha mauzo ya siku. mostly jibu lake lilikuwa biashara mdogo mdogo, mwaka huo huo akashika mimba na Mungu akajalia akajifungua 2016 March, kipindi hicho nilikumbwa na mtikisiko mkubwa kiuchumi hivyo hali haikuwa nzuri. Katika maisha yetu alikuwa ni mtu wa kufanya maamuzi peke yake na nikijaribu kuhoji inakuwa ugomvi nikaamua kukaa kimya kuepusha shari. Hivyo aliwaleta ndugu zake kuishi kwangu bila idhini yangu maana hali ya uchumi ilikuwa si nzuri. Akaanza kulaumu kuwa ndugu zangu wanamchukia ilhali yeye alikuwa akienda kwetu hafanyi chochote ni kuketi tu muda mwingine hamsemeshi mtu anakuwa busy na simu yake. Tukitoka anaanza kutupa lawama kwangu kwamba ndugu zangu na mama yangu hawampendi. Nilijaribu kumwelewesha na kumwambia kuwa mama hapendezwi na tabia ya yeye kujitenga maana kama anahitaji kuolewa na mimi lazima achangamane na familia yangu lakini haikufua dafu. Hali hiyo iliendelea hata kufikia hatua mama yangu akimpigia simu hapokei kwa makusudi, nikimuuliza anasema hajisikii kuzungumza na simu, mama akipiga kwangu nikimpa pia jibu ni lile lile.

Hali hiyo ilinitesa sana maana nikiangalia maisha yake ya nyuma napata ugumu kumuacha maana namsikitikia mwanangu atateseka sana. Nilifanikiwa kupata kazi nyingine hapa Dar na kuhamia hapa mwaka 2017 July, nilianza kazi vizuri na nikawa natuma pesa za kutumia kama kawaida nilikuwa nikituma laki 2 kila mwezi kwa ajiri ya matumizi, na biashara ile ilikuwa ikiendelea kama kawaida japo sikuwahi kujua mapato yake kabisa. Cha kushangaza ni kwamba kila baada ya wiki mbili niliambiwa hakuna pesa ya kutumia na hakuna chakula mtoto hana chakula pia, ilinibidi nitoe pesa yangu ya kujikimu niitume kwao kitu ambacho kiliendea kuwa hivyo kwa muda wa miezi 5. Wakati mwingine sikuwa na pesa kabisa kwa sababu ya matumizi kwake kuwa mengi na nilijaribu kuhoji pesa inatumika vipi ilizua mgogoro sana. Na alikuwa mtu wa kulalamika na kunitumia sms za matusi[Zipo Zote] kunitukana lakini sikuangalia hayo maana imani yangu ilikuwa ni kujenga familia na huyo dada. Mwaka jana mwezi wa 12 nilimwambia ajiandae ahamie huku hivyo vitu vyote nikampa melekezo avipeleke kwa mama yangu na ndivyo tulivyokubaliana. Nilituma pesa ya nauli Tshs 210,000/= Kwa ajili ya safari (100,000/=) na kumalizia kodi ya nyumba (100,000/=) lakini huwezi amini kabla ya siku moja safari kuanza aliniambia kuwa hana pesa ya nauli nimtumie nauli.

Nilishikwa na hasira sana na tayari nyumba niliwambia wakabidhi kwa mwenyewe, Vitu aliamua kuita ndugu zake wakaja kuchukua bila kunishirikisha. Nilipigiwa simu na mdogo wangu akiniambia mbona mambo yako tofauti na mlivyopanga? kwa hekima niliwaambia wadogo zangu waondoke tu lakini pia haikutosha ndugu zake na huyo dada walianza kuwamwagia wadogo zangu matusi kiasi cha kushangaa kuna nini mpaka iwe hivyo. Nilimpigia huyo dada na kumuuliza kuhusu tukio hilo niliambulia matusi ya ajabu sana na hapo nimetoa tena pesa nyingine ya nauli ili tu mwanangu awe karibu yangu.

Nikajisemea kuwa akifika nitamhoji anieleze vizuri, lakini alipofika alikuwa ni mtu mwenye maneno mengi sana na matusi makali, niliamua kuachana nayo hayo na kufungua ukurasa mwingine wa maisha (Kumsamehe). Tukaishi maisha ambayo kila siku anazua jambo, wakati mwingine namsalimu haitikii, namsemesha hajibu ikafika wakati nikaamua kumtizama tu. Nilipanga niende kwao kutoa mahali mwezi wa 11 mwaka huu lakini kwa tabia hizi sidhani kama naweza. NImeshajaribu kuzungumza naye, kumshirikisha mchungaji wa kanisa analosali, kwa muda fulani nikaona mabadiliko lakini hali ilirudi vile vile. Ilifika kipindi nimetoka kazini nikamkuta ndugu yake kaja kumsalimu, kabla sijaingia ndani nilisikiwa wakinizugumza vibaya sana. Nilichukia sana lakini nikamwambia Mungu kwamba ikiwa mimi ndiye nimemfanya mtu huyu awe hapa sina haja ya kuchukia kwa hiki anachonena kuhusu mimi. Niliingia ndani nikabadili nguo zangu na kutoka kwenda matembezi.

Hivi karibuni kuna ndugu yangu alikuwa anaolewa huko kanda ya ziwa, nikamwambia huyo dada apige hesabu ya mahitaji yake na mtoto kwa ajili ya harusi. Alinipa hesabu yake nikasema sawa ilikuwa around 200K nikatafuta pesa Mungu akajalia nikapata 1M nikamwambia kuna pesa hii imepatikana so wajiandae kwa ajili ya kwenda kwenye harusi. Tulipanga kwenda kufanya shopping the next day. Tulikwenda kariakoo kuanza shopping, cha ajabu yale aliyopanga kununua nikaona anatafuta nguo za mama yake (Kitu ambacho hakuwa amenishirikisha na ilikuwa nje ya budget) nilikaa kimya nikamnunulia mwanangu, yeye alipomaliza kununua alivyokuwa ananunua akanambia anahitaji pesa ya kujinunulia yeye pia.

Seriously nilishikwa na hasira sana maana haikuwa katika budget, na ukizingatia tunakwenda kwa siku chache tu na hatukupanga kufanya yote hayo maana kulikuwa na mambo mengine ya muhumi ya kufanya baada yakurudi dar. Siku hiyo ilikuwa mbaya sana kwangu maana aliongea maneno makali sana kiasi kwamba nikashikwa hasira nikampa hiyo pesa aliyohitaji, aliema asante but sikumjibu kabisa. Tulikwenda nikijua tunafikia kwenye tukio lakini kumbe kwake ilikuwa ni tofauti tulipo fika alinambia nimpeleke kwa dada yake, nilifanya kama alivyohitaji. Nikategemea asubuhi atakuja ajishughulishe katika shughuli za tukio hakuonekana simu hapokei mara nakuja baada ya nusu saa mpaka ikafika jioni. Kesho yake nikamwambia ajitahidi kuwahi aje kujumuika na kusaidiana na wenzake lakini alikuja saa nne asubuhi na kunifuata moja kwa moja anaomba pesa aende salon. Sikumpa nilimwambia sina maana tayari alishaniudhi. Akaingia ndani kwamba anakwenda kubadili nguo aje kufanya kazi, kumbe haikuwa hivyo akaondoka kwenda zake salon. Sasa tangu hapo hakukanyaga tena kwetu, mpaka siku ya harusi yenyewe ndo akaonekana tena. Tulijumuika na baada ya sherehe kuisha nilianza maandalizi ya kurudi Dar, siku iliyofuata akaniambia anahitaji kuzungumza na mama yangu, mimi na ndugu zangu nikasema sawa. Akatuita tukaketi kumsikiliza akaomba msamaha wa kilichotokea na kuhusu matusi yaliyotukanwa kwenye sakata la vitu na mengine mengi wakamsikiliza na wakamwambia wao hawana tatizo kabisa, akanaambia nimsindikize kwenda kwa dada yake nikamsindikiza.

Huko njiani alinitolea maneno makali sana nikajiuliza kwamba huo msamaha aliokuwa akiomba alimaanisha nini? au alikuwa akiwajaribu ndugu zangu na mama yangu? sikutaka mengi wala sikujibu kitu nikamfikisha nikaondoka. Sasa mwezi huu ilikuwa niende kwao nikatoe mahali lakini moyo wangu sasa haumuhitaji tena maana naona tunakoenda nitafanya kitu cha ajabu juu yake kinachoniumiza ni mwanangu tu.

Nilimweleza kuhusu kuachana mimi na yeye akasema ataenda kupanga chumba hapa hapa Dar kitu ambacho nikifikiria mazingira hayo kwa mwanangu siyo kabisa, naombeni ushauri wenu nifanyeje? maana jambo hili limenichosha sana.
 
Kwanza pole sana mkuu!lakini nikupe pongezi kwa moyo wa huruma,hekima na wa busara ulionao i wish nikufahamu au tufahamiane kama wanaume.Uyo mwanamke kwa sasa hakufahi tena kwa maana anakurudisha nyuma kimaendeleo alafu wakati uyo mkeo anapitia wakati mgumu hao ndugu zake ambao anashilikiana nao kukutusi na kukubeza walikuwa wapi?nina mengi ya kusema sema ninahasira kama mie ndio mtendewa hv.
 
Kitu kingine mkitengana atamtumia mtoto kama kitega uchumi kitu ambacho napata ukakasi!!!
Waende ustawi wa jamii kabisa matumizi ya mtoto yaeleweke kwa mwezi atatoa bei gani lakini asitoe matumizi kwaajili ya kumuudumia mwanamke au labda mwanamke anataka kuweka mfanyakazi bc mwanaume amlipe mfanyakazi ilo ni jukumu lake mwanamke.
 
Fact
 
mkuu, kwanini unalazimisha ndoa kiasi hicho?.....

usikute hata huyo mtoto sio wako,........

btw usioe au kuolewa na mtu kwa sababu ya mimba/mtoto/pesa..........

kifupi achana na huyo dada, umeumia sana sijui kwann unaendelea kuweweseka nae!!
 
Kitu kingine mkitengana atamtumia mtoto kama kitega uchumi kitu ambacho napata ukakasi!!!
ujue mahakama ina uwezo wa kumnyang'anya huyo mwanamke mtoto...........

kama mazingira ya mtoto yatakua hatarini, mahakama itaamuru mtoto alelewe na mama mzazi wa kijana (bibi wa mtoto).........

sio sawa kabisa kuoa mtu ambae hakufai, yan utakua umejifunga kitanzi cha milele, ukizingatia hio ni ndoa ya kikristo!
 
Duuh! Miaka 4 ni mingi sana. Ilikuwaje Mkuu?
Mimi nimekaa nae miaka 10 ila nimempiga kibuti. Maana naona haeleweki. 😂😂😂😂
Atajua mwenyewe. Japo kanipotezea mda sana. Ila Ndo yeye anataka mazoea na mimi.
Ila najitahidi kumkwepa mno.
 
Kuachana n Vita........hakutakiwi kupatikane amani wakat wa kuachana.

Mkiachana kwa Amani lazma mtarudiana.

nasisitiza...KUACHANA NI VITAAAA
 
Dunia ni duara anaeondoka lazima mtakutana tena akiwa 1. Yamemfika makubwa huko alikokwenda (hasa wale walioondoka kwa mbwe mbee) 2. Amepata mahali pa kutuliza moyo wake baada ya uliyomtendea.
 
Ziko njia mbili tu ambazo uhusiano baina ya wapenzi wawili utaandika historia. Ama uhusiano utadumu hadi kifo kiwatenganishe ama utavunjika. Hata hivyo uzoefu unaonyesha kuwa kwa walio wengi hawajaweza kuwa kwenye uhusiano wa kudumu, wanakuwa wamepitia katika mahusiano mengine na hivyo kupitia awamu Fulani Fulani za kuvunja mahusiano.Na kuna namna mbili ambazo uhusiano utavunjika. Ama kwa amani ama kwa ugomvi.

Broken heart.png
Kumaliza mahusiano si kitu rahisi sana hata kama ni hakika umemchoka mwenzi wako na hata kama uhusiano wenu si mzuri kiasi kwamba uko tayari kuwa huru. Kwa hiyo basi, kuvunja mahusiano ya kimapenzi ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Hata hivyo kumaliza mahusiano kwa amani ni vizuri na inapendeza kuliko kuumaliza kwa ugomvi na jazba. Kumbuka "The Golden Rule": Kwamba ungekuwa ni wewe ungependa uachwe vipi? Kama upo katika mahusiano yasiyo na tija na unafikiri kwamba imefika wakati unahitaji uhusiano wenu uvunjike, basi dondoo zifuatazo zitakusaidia kumaliza mahusiano na mpenzi wako kwa amani. Kitu kimoja kikubwa cha kuzingatia ni kuweka Jazba pembeni:

1. Kuwa Na Uhakika Na Unachotaka Kufanya: Kama huna uhakika juu ya hisia zako kwa mwenzi wako unapotaka kuvunja uhusiano bora usifanye hivyo maana utafanya moyo wako usiwe na maamuzi dhabiti aka "Maamuzi magumu". Kama una hisia naye pia itamfanya achanganyikiwe na ajisikie kuwa bado anayo nafasi ya kuwa na wewe ama anaweza akaamua na yeye kukukomoa na kukuacha kabisa wakati kumbe bado una hisia za mapenzi na yeye . Hata hivyo kama una uhakika kwamba ni kweli hauutaki uhusiano uliopo basi kuwa tayari kukata kabisa mahusiano yenu la sivyo kuwa tayari kukiona cha moto . . . maana utakuwa unachezea hisia zako.

2. Fikiria Sababu za Kuvunja Uhusiano: Uhusiano unapovunjika mara nyingi ndugu, jamaa na marafiki wanapenda kujua sababu. Unapojua sababu zinazopelekea wewe kuvunja mahusiano itakusaidia kutoa majibu ya uaminifu pale unapoulizwa. Pia itakusaidia kumaliza mahusiano katika namna njema. Hata kama mwenzi wako hataamini au ataamini juu ya kuvunjika kwa uhusiano wenu, kuwa honest au mkweli ni muhimu. Mweleze unahitaji kusonga mbele na maisha yako bila yeye na mjibu maswali yote kwa uaminifu. (Fikiria huko nyuma kama uliwahi kuachwa bila sababu ulivyojisikia)

3. Maliza Mahusiano Wewe Binafsi: Kama umekuwa na mpenzi wako kwa muda mrefu au kuipindi chochote ambacho uliwekeza muda na nguvu zako za kujenga mapenzi, basi ni busara mahusiano hayo yakamalizwa na mwenyewe binafsi. Usitumie njia yoyote ile zaidi ya wewe mwenyewe, usitumie SMS, usitumie IM "Chat", usitumie simu au email au barua au mtu yeyote kufikisha ujumbe. Ukitaka kumaliza mahusiano kwa amani, tafuta muda wa kukaa na mwenzi wako in person au face to face ili kuumaliza uhusiano huo katika hali njema.

4. Chagua Mahali Panapofaa: Mahali pazuri panapofaa ni pale ambapo wewe unayetaka kumwacha mwenzako ungekuwa wewe unaachwa ungependa iwe mahali gani ili uelezwe? Be on his/her shoes. Public Places si mahali pazuri sana kwani mwenzi wako anaweza kujisikia kadhalilishwa. Kama ukiweza chagua mahali patakapomfanya mwenzi wako awe confortable na kurelax kama yuko nyumbani kwake.
Angalizo: Kama una uhakika kuwa mwenzi wako anaweza kuleta ukorofi, basi chagua Public Place kama kwenye restaurant ambapo wapo watu wengine. Hii itasaidia kuondoa uwezekano wa kuleta vurugu. Public Place patakufanya ujiamini. Pale mambo yatakapochachamaa unaweza kuondoka tu bila tishio la ugomvi kwa kuwa kuna watu. Ukiona hali si shwari ni vema uanze kuondoka wewe kuliko yeye kuondoka kwanza.

5. Msikilize Mwenzi Wako: Hata kama umeshaamua huwezi kubadili mawazo juu ya kuvunja mahusiano yenu haina maana kuwa usimsikilize mwenzi wako. Kumsikiliza mwenzi wako kutamfanya mwenzi wako atoe yote aliyokuwa nayo moyoni kitu ambacho kwa uhakika kitasaidia kumaliza mahusiano kwa amani. Pia unaweza kujifunza baadhi ya mambo ambayo yatakusaidia katika mahusiano yako yanayofuata.

6. Kuwa Mpole Na Dhibiti Hisia Zako: Moja ya sababu kubwa ya mahusiano kuvunjika ni pamoja na wahusika wote kutokuwa na furaha na amani na mwenzi wako. Wakati wa kuvunja mahusiano hayo pia yanaweza kujitokeza hasa pale mtakapoanza kulaumiana na kuonyeshana vidole ni nani mwenye makosa. Hakikikisha unadhibiti hasira hisia zako na hasira hata kama anachoongelea mwenzio kitakutia hasira. Ukifanya hivyo utafanikisha kuwa na mazungumzo ya amani.

7. Kuwa Mtulivu na Makini: Unahitaji kuumaliza uhusiano na kuondoka mahali mlipo. Hata hivyo ni busara kuwa mtaratibu na mpole. Kama kuvunjika kwa uhusiano wenu kutakuja kama Suprize kwa mwenzio, basi bila ya shaka atahitaji muda wa kuyameza unayomwambia, kuyatafakari ili aende sambamba na wewe katika mazungumzo yenu. Inaweza ikawa si habari njema kwa mwenzi wako kwa hiyo utulivu wako na upole katika maongezi yenu kutamfanya apunguze maumivu.

8. Mkimaliza Maongezi Ondoka Haraka: Iko hivi: Kwa kiasi kikubwa anayeachwa anaweza kuwa alikuwa hajui kuwa ataachwa kwa hiyo hatakuwa na furaha kwa yeye kuachwa. Anaweza akakulaani sana na kukuita majina yote mabaya anayoyajua na hivyo kukufanya na wewe uwe na hasira. Tulia. Jizuie. Kwa kuwa umeshaongea na pia umemsikiliza kistaarabu, huna haja ya kuendekeza ugomvi au malumbano. Ondoka. Hakuna faida utakayoipata kwa kuendelea kutoa maelezo yoyote ya ziada. Kama ni mwelewa na mmemaliza maongezi kwa amani basi mwage na nenda zako.

Je, ni nini uzoefu wako kuhusu kuacha au kuachwa katika mahusiano mbalimbali uliyopitia? Na je, kuna lolote la kujifunza
There's never a right time to say goodbye to someone who you really love its always hurt it doesn't matter if those words are made up of diamonds..it hurts
 
Back
Top Bottom