Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Sababu hasa ni nini ya kuacha...!?Habari Wana JF natumaini muwazima
Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
Huu ni utani kabisa aisee!
Asiache.....aangalie namna