Kuacha chabo inawezekana!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuacha chabo inawezekana!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Mar 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,572
  Likes Received: 5,759
  Trophy Points: 280
  """KAULI MBIU YA WIKI YA MAADHIMISHO YA TB DUNIAN""

  Hata kama ni ngumu kuisha basi tupunguze jamani hii kitu chabo
  unakuta mtu anakaa gorofani yuko karibu na choo cha mwenzake
  anaamua kabisa kubinua mimacho yake kuchungulia wazee wetu jinsi wanavyojimwagia...awakupenda hawa kuoga vyoo vya wazi basi tu tandale ndio ishakuwa kwetu,..najua ipo sehemu nyingine nyingi...
  tatizo hili limezikumba hadi nyumba za kupanga unakuta usiku wa manane
  watu wazima na akili zao wameweka viti ama vidubwasha vya kuwekea uchafu wanapandia juu kuchungulia mwenzao anavyoumizwa,..jamani mbona unajiumiza hivyo kwa lazima uchungulie live..embu tuachien na starehe zetu tena wakati mwingine ukiwaona ndio kwanza unaongeza sped ya kukamuliwa

  jamani hata kama ngumu kuacha basi tupunguze huu si ugonjwa unaponyeka
   
 2. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  we umeamkaje leo?
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Duh balaa hiyo chabo inapendwa eenh!
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,906
  Likes Received: 21,008
  Trophy Points: 280
  hiyo red inahusiana vipi na chabo
   
 5. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  sweetbaby unasumbuliwa sana nini huko mtaani na wachunguliaji...?
   
Loading...