Uko sawa member hata mid huwa kuna wakati nahitaji niwe na mpenzi na kuna wakati napenda niwe peke yangu maana Luna vitu huwa nikianza kufanya nachukua karibu muda mwingi sasa ukiwa na girlfriend SAA nyingine vitu haviendi anataka muda wote uwe naewakuu
napata faraja sana ya maisha hasa baada ya kupitia mikikimikiki ya mapenzi,
96% ya akili yangu ilikua ikitumika kuwaza anayeitwa mwanamke niliempenda badala ya kuwaza mambo ya maana kama project za maendeleo
ila baada ya kumuacha mpenzi niliempenda sasa naishi saaafi bila stress zozote
kupenda mtu ni kubaya sana,99% za ubongo zinakua zinamuwaza umpendae na akijua unampenda utajuta,ATAKUFANYIA TIMBWILI ZA KILA AINA,
ila nachofurahi tu ni kua huwezi kukomaa kimapenzi kama hujawai umizwa,kama wewe bado,basi jua siku zinakuja
now am FREE
no woman no cry
Kalibu kwenye ulimwengu wa "i dont care".
Pole sana kwa yaliyokukuta mkuu.
Ungejua hata ni bora ungependa chakula ule, ushibe kuliko kumpenda mwanamke asiyeeleweka.
You must be kiddingI will be single forever
Ulikosa hata buku 5 ya gesti bubu?Mi Jana tu tumefumwa kwenye minyasi tunafanya ndindiiiiiiiii tukafumwa nikamukimbia nikamuacha nikajua miharamia kwenye magazeti