Ku-zalisha Artificial intelligence product kutokea Tanzania (Africa) ni ngumu sana

Remember space complexity bro. afu tangu kwenye ile thread nmeona hauangalii sana efficiency ya algorithms

bro acha kukataa ukweli unaoonekana waziwazi, 100gb is a lot of data, otherwise uwe una computer yenye uwezo mkubwa sana(This is expensive)

Programmers wengi unakuta hawana somo la algorithms ili liwasaidie ku analyze programs zao. data ikiwa kubwa hivo mkuu inaleta ttzo, hivo inabidi ujaribu kuzipunguza tena kwa njia mbalimbali

You can use big data tools to analyse 100gb of data, but that doesn't make it big data.

Your computer has more storage than that, it can index it and comb through it with decent performance. Real example is apple, they pride themselves in privacy by doing all the machine learning and data processing on the device, nothing is being sent to the server. All that in an iPhone with an ARM CPU and a specialised co-processor and 64gb or 256gb storage. Au iPhone nayo ni computer yenye uwezo mkubwa sana?

You can easily manipulate 100gb of data through various techniques, you can throw around words like algorithms and complexity as you want but 100gb is not big data. SQLite tu can store 140 terabytes, doesn't mean you should have a 140TB database but just to put into perspective how 100gb is nothing.
 
inawezekana lengo unalo, lakini pia ni mbishi na inawezekana hujui vizuri industry inavyofanya kazi na data za watu, hiyo story ya iphone umewahi kuidhibitisha kuwa iko hivyo? na haitumi wala kuwasiliana na servers zao? au umewaamini tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makampuni wanatakiwa waremove identity (data ananyomization) alafu washare na watu wa research bure usipende kuongea vitu usivyovijua
Umesema unataka data upande wa health mbona hizo zinapatikana kama unataka toka taasisi kubwa za Healthcare?

Ninachoona hapo hujaanda vizuri namna utakvyo pitch hiyo project yako.

Uwashawishi watoa data na utapata. Make it official nenda wizara husika washushie nondo. Omba document ya utambulisho waku-endorse.

Waoneshe wenye kushare data na wewe watafaidika vipi n.k.

Ukweli hata huko nje hakuna anaetoa data hasa za kibiashara au kwa matumizi ya biashara bila ya yeye kupata faida flani.

Hata google tu wanalipa partiner wao duniani kote kwa kuchukua local feed kupitia robotics yao.

Hapo jipange andaa proposal nzuri. Data utazipata. Hapa umetoa hoja yako ipo general sana. Go into specifics uwaelekeze unaohitaji data kwao utapata msaada. Hapa ukieleza specifications utakuwa kama unauza idea yako bure.
 
Hujui chochote kuhusu AI Kwa jinsi unavyojenga argument zako na unashindwa kutofautisha kampuni inayotaka data Kwa ajili kufanya marketing targeting na kutumia kutengeneza A.I products ni vitu viwil tofaut unafikiri mim nafanya kaz kama repoa, twaweza au esrf
https://www.google.com/amp/s/health...t-of-medical-imaging-data-available-to-public fungus hy link ndo utaelewa nachoongea

Nimeshaelewa upoje....

I was right,umesoma vimadesa vya online ndio maana unapagawa namna hii..

Yaani una-compare AI na online marketing?Hivi una kichaa wewe?

Repoa,Twaweza,ESRF,etc ndio unaona kuna pa kufanyia AI?Statistics ni very basic use of data wewe!Mpaka umeyataja hayo mashirika yaelekea hata hujui maana ya AI kabisa.

AI ni automatic self driven quick meaningful human or machine understandable decision making ya sasa na future ya specific system kwa kuchambua myriads of mines of data using very very complex algorithms,na ijifanyie fine tuning yenyewe to the finest level..

Nakuona unarusha AI buzz word around tu kama mkichaa kujionesha na wewe unajua msamiati AI

Unachonichekesha ni pale unapolaumu Tanzania nzima kwamba haitaki kukupa data wewe maana wewe ni mtu muhimu sana lazima nchi ikuangalie vizuri ikupe data ufanye unayoyajua wewe maana wewe ni kichwa sana wa AI...

Kama kweli una akili sana kupita maelezo kujikusanyia data zako mwenyewe ungeweza kwa kutumia akili yako binafsi....

WhatsApp mpaka leo wapo kwenye data collection phase,sasa wewe kajifanye pia ni WhatsApp ukusanye data..

Mpaka upate mine of data kwenye sector unayotaka kufanyia kazi ni miaka ya kutosha na utoe collateral products watu watumie ukusanye

Kibaya ni kama unadharau nchi nzima na watu wake...wewe ni mbuzi!
 
Soko la bongo bado sana,

Website zenyewe sio responsive, web apps watumiaji tayari wamenunua systems za nje.

Nilitegemea data centre zisaidie hata kukuza cloud computing ila sioni mwenye plan ya hvo katika hao waliokabidhiwa

AI ulipaswa usource wataalam kutoka nje, maybe India, China or Nigeria na kidg kenya hata kabla ya kuanzisha kampuni.

Kuhusu data, hata zilizopo utakuta ziko kwenye mafile wabongo bado tunaamini mafile sana, ila data zipo zinahitaji kazi ya ziada kuzi structure tofaut na hapo basi product yako itakuwa way beyond hata data/ use case zilizopo kwenye jamii kwa sasa

Nakushauri usikate tamaa, tafuta pa kuanzia hata kama ni product nyingine ambayo kwasasa ina data za kutosha kuanzia na taratibu jamii yetu inaweza kuelekea huko.
 
You can use big data tools to analyse 100gb of data, but that doesn't make it big data.

Your computer has more storage than that, it can index it and comb through it with decent performance. Real example is apple, they pride themselves in privacy by doing all the machine learning and data processing on the device, nothing is being sent to the server. All that in an iPhone with an ARM CPU and a specialised co-processor and 64gb or 256gb storage. Au iPhone nayo ni computer yenye uwezo mkubwa sana?

You can easily manipulate 100gb of data through various techniques, you can throw around words like algorithms and complexity as you want but 100gb is not big data. SQLite tu can store 140 terabytes, doesn't mean you should have a 140TB database but just to put into perspective how 100gb is nothing.
Big data inaanzia 15 GB for your formation, na wengi tunafikir big data mpaka iwe terabytes, au petabytes Japan, nakuhakikishia hizo 100 GB za image usipotumia AI s
Soko la bongo bado sana,

Website zenyewe sio responsive, web apps watumiaji tayari wamenunua systems za nje.

Nilitegemea data centre zisaidie hata kukuza cloud computing ila sioni mwenye plan ya hvo katika hao waliokabidhiwa

AI ulipaswa usource wataalam kutoka nje, maybe India, China or Nigeria na kidg kenya hata kabla ya kuanzisha kampuni.

Kuhusu data, hata zilizopo utakuta ziko kwenye mafile wabongo bado tunaamini mafile sana, ila data zipo zinahitaji kazi ya ziada kuzi structure tofaut na hapo basi product yako itakuwa way beyond hata data/ use case zilizopo kwenye jamii kwa sasa

Nakushauri usikate tamaa, tafuta pa kuanzia hata kama ni product nyingine ambayo kwasasa ina data za kutosha kuanzia na taratibu jamii yetu inaweza kuelekea huko.
Umeongea bonge LA point, Tanzania mifumo ya data haipo katika cloud computing bado IPO kwenye paper hiko in kikwazo kikubwa, data quality nayo ni changamoto alafu watu wanafikiri AI ni kitu kidogo kidogo tu kama kufanya digital marketing sababu ndo makampuni karibia yote ya Tanzania yanafanya hii kaz, ila inaugumu sana especially ukiifanyia kutoka tanzania, katika watu walionielewa wewe ndo umenielewa hongera sana
 
Ningetamani kuona data centre zetu zinakuwa full utilized na kwa gharama nafuu, badala ya wahusika kuangalia kupata enterprise kubwa zenye faida wangetenga baadhi ya resources kwa startups na kutoa incentives za kutosha

Kenya ICT inachangia sehem ya kutosha kwenye pato lao kwetu bado tuko kwenye kilimo na utalii

Angalia secta zinazoongoza kuajili vijana mjini sio kilimo bali ICT mfano tu angalia watu wanaoish mjini kwa kutegemea insta, youtube channels, photography n the likes na hawa kila mmoja anasupport au kufanya na wenzake si chini ya 3. Kwahyo kwa namna moja au nyngine hii sekta inakuja juu.

Kuhusu utaalam kama sheria zetu zingesaidia nguvu kazi kutoka nje kuhamia nchini kirahisi na kusaidia kuamsha akili za vijana basi tungefika mbali. Utajiri wa Silcon Valley mkubwa sio funds tu bali wataalam, ambao weng sio wamarekan bali watu toka sehem tofaut.

Tofaut na hapo ni ngumu kufika huko esp watoto wa sisi maskin tuliosomea vyuo vyetu. Enz niko chuo kuna swali nilikosa kisa nimejibu kwa kutumia knowledge ya Ms word 2013 wakat huo ina mwaka imetoka kumbe recturer alitaka nitumie knowledge ya Ms word 2003. Imagine hao watu mpk leo wapo vyuoni, tunazalisha nguvu kazi ipi?
 
Nimeshaenda Muhimbili, kcmc, ocean road several times, wamekataa kushare na kampuni wamekataa, mpaka unawaambie waremove identity za wagonjwa (data ananyomization) still wamekataa. Alafu usirudie huu ujinga wa kucompare makampuni ya bongo na na ya nchi zilizo endelea utaendelea kuonekana zwazwak@wyatt methewson
 
Nimeshaenda Muhimbili, kcmc, ocean road several times, wamekataa kushare na kampuni wamekataa, mpaka unawaambie waremove identity za wagonjwa (data ananyomization) still wamekataa. Alafu usirudie huu ujinga wa kucompare makampuni ya bongo na na ya nchi zilizo endelea utaendelea kuonekana zwazwa
Hawawez, labda ujaribu kurob kupitia wizara husika
 
Ningetamani kuona data centre zetu zinakuwa full utilized na kwa gharama nafuu, badala ya wahusika kuangalia kupata enterprise kubwa zenye faida wangetenga baadhi ya resources kwa startups na kutoa incentives za kutosha

Kenya ICT inachangia sehem ya kutosha kwenye pato lao kwetu bado tuko kwenye kilimo na utalii

Angalia secta zinazoongoza kuajili vijana mjini sio kilimo bali ICT mfano tu angalia watu wanaoish mjini kwa kutegemea insta, youtube channels, photography n the likes na hawa kila mmoja anasupport au kufanya na wenzake si chini ya 3. Kwahyo kwa namna moja au nyngine hii sekta inakuja juu.

Kuhusu utaalam kama sheria zetu zingesaidia nguvu kazi kutoka nje kuhamia nchini kirahisi na kusaidia kuamsha akili za vijana basi tungefika mbali. Utajiri wa Silcon Valley mkubwa sio funds tu bali wataalam, ambao weng sio wamarekan bali watu toka sehem tofaut.

Tofaut na hapo ni ngumu kufika huko esp watoto wa sisi maskin tuliosomea vyuo vyetu. Enz niko chuo kuna swali nilikosa kisa nimejibu kwa kutumia knowledge ya Ms word 2013 wakat huo ina mwaka imetoka kumbe recturer alitaka nitumie knowledge ya Ms word 2003. Imagine hao watu mpk leo wapo vyuoni, tunazalisha nguvu kazi ipi?
Mim nilikua na lecture wa ud nikamuuliza swali LA kumtega kuhusu zile types za cloud computing (infrastructure as a services, platform as services, and software as a services). Mpaka aibu anababaika sana kuzielezea, MTU ana masters na ndo anayefundisha chuo ajui kuelezea cloud computing vizuri nilishangaa sana

Alafu nilishangaa data centre za bongo zina struggle kupata Wateja, Kwa point hio utagundua suala LA data Tanzania halina kipaumbele, yaan watu wanahifadhi data Kwa njia ya zaman
 
Wasichojua kuna data nyngi zinatakiwa especially kwasabu ya lugha yetu.

Kuelekea mwaka 2030 Dar itakuwa kati ya mega city, plus population inavyokuwa kwa kasi hivi ni dhahiri mifumo ya kisasa itahitajika

Wale watakaoingia sokoni mapema watafaidia zaidi.

Mfano tumechelewa kwenye ride sharing tech, mpk sasa hatuna kampuni ya wazawa, soko lote limechukuliwa na makampuni ya nje, hizo data zimeenda hazitunzwi hapa nchini.

Huwa nikiona speech recognition tech najiuliza lini Siri au google voice zitatambua kiswahili? Je tz itahusika katika kufanikisha hilo au tutaletewa products zikiwa tayar?

Jambo moja ni dhahiri, si kwa uongozi wa sasa maana hiki sio kupaumbele chao
 
Kuna MTU nilimwambia matatizo ya Africa yanahitaji utambuzi wa kutoka ndani, na sio kutoka ulaya u.s au China, lakin sadly hakunielewa

Hata telecommunications company kubwa zote za nje, ndo maana hata TTCL imemuwia vigumu kuwin soko Kwa sababu unayeshindana naye ana mtaji wa data we huna inakua ngumu sana
 
Nimefungua artificial intelligence kampuni, Ila nimekuja gundua kudevelop artificial intelligence product kutokea Africa (Tanzania) ni ngumu sana, Kwa sababu zinahitaj data ili uweze ku-tumia algorithms kutengeneza product, mfano ili utumie deep learning unatakiwa uwe na data nyingi sana ili uweze ku-train neural network model, na makampuni mengi ya Africa hayako tayar kushare data na AI research company. Pili wataalamu; kufanya AI inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kutokana na waafrica kuwa wavivu kufikiri imekuwa kikwazo kupata wafanyakaz wabunifu

Nia ya kampuni yako hasa ni nini? Ni faida au kusambaza ujuzi (knowledge) au vyote viwili? Na kama ni vyote viwili, ulifanya market research ikakupa matokeo gani? Ninavyoelewa mimi, essence ya AI ni ku-mimic human intelligence and possibly, ku-replace human labour in some of the sophisticated, mundane tasks. Sasa kwa Afrika ambao bado tuko manual kiasi na kwamba AI tunatumia applications za wenzetu ambazo tayari wamesha-develop, sisi tunanunua na kuja kuzi-deploy tu, halafu wewe unataka kuanza from the root, yaani udevelop, uuze sijui halafu sijui yaani hata sielewi. Au labda unifafanulie tena pengine unachotaka kufanya sijakiewlewa vizuri!
 
Pili wataalamu; kufanya AI inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kutokana na waafrica kuwa wavivu kufikiri imekuwa kikwazo kupata wafanyakaz wabunifu

Tatizo wakati mwingine mnabuni projects ambazo haziko compartible na maeneo mliyopo halafu zikidunda mnaanza kutusi waafrika, wewe la kwako la poor planning unakuwa hulioni, wakati wewe ndiyo unakuwa umefanya blunder zaidi ya wale unaowarushia matusi!
 
Nimeshaenda Muhimbili, kcmc, ocean road several times, wamekataa kushare na kampuni wamekataa, mpaka unawaambie waremove identity za wagonjwa (data ananyomization) still wamekataa. Alafu usirudie huu ujinga wa kucompare makampuni ya bongo na na ya nchi zilizo endelea utaendelea kuonekana zwazwak@wyatt methewson
Kwann usi hack mifumo yao upate hizo data?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo wakati mwingine mnabuni projects ambazo haziko compartible na maeneo mliyopo halafu zikidunda mnaanza kutusi waafrika, wewe la kwako la poor planning unakuwa hulioni, wakati wewe ndiyo unakuwa umefanya blunder zaidi ya wale unaowarushia matusi!
Project nazofinya huzijui tayar umeshahukumu ndo tatizo kubwa tulilonalo watanzania MPE tu picha na stori atakutungia
 
Back
Top Bottom