Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,006
Nimefungua artificial intelligence kampuni, Ila nimekuja gundua kudevelop artificial intelligence product kutokea Africa (Tanzania) ni ngumu sana, Kwa sababu zinahitaj data ili uweze ku-tumia algorithms kutengeneza product, mfano ili utumie deep learning unatakiwa uwe na data nyingi sana ili uweze ku-train neural network model, na makampuni mengi ya Africa hayako tayar kushare data na AI research company. Pili wataalamu; kufanya AI inahitaji ubunifu wa hali ya juu na kutokana na waafrica kuwa wavivu kufikiri imekuwa kikwazo kupata wafanyakaz wabunifu