Hivi Huawei huwa hazinaga update???sammobile ni website ya kudownloadia rom na odin ni software ya kueka rom kwenye pc, ila kama huvielewi elewi ni bora uache utafute anaejua akufanyie
zipo huawei zinazopata updates ila ya kwako sidhani kama inapata, njia ya kuangalia update ni ile ile kwa simu zote za android. unaenda setting halafu about halafu software updateHivi Huawei huwa hazinaga update???
Kuna simu y541 naweza ifanyia manuva yeyote bila kuchange imei ifike versn 5???
Kaka Ahsante,nimechek kwa kies imedownload ila haikibali kuinstall yaan ikisema iko kwenye intallation inakaa tu percentage hazipandi,nimejaribu kuchek internet ni download file naona update ya android 5 bado kwa Africa ,ni ya nchi kama tano tu ndio imetoka ,ingekua lumia phone najua ujanja wa kubadili region sasa vipi hizi android nazo zinahilo !? Nifanyaje kaka niende android 5 hii ya 4.4.4 inastack nikiweka application nyingi kaka,.Ahsantetumia kies na pc kuangalizia update kama njia ya kawaida imekataa
nenda setting halafu about angalia version yako ya grand prime ni ipi zipo version nyingi tu kama G530F, G530FZ, G530Y, G530H, G530FZ nk download rom kutokana na hizo version hata kama rom ni ya vietnam au brazil usijali hakikisha tu ni aina sawa na simu yako itakubaliKaka Ahsante,nimechek kwa kies imedownload ila haikibali kuinstall yaan ikisema iko kwenye intallation inakaa tu percentage hazipandi,nimejaribu kuchek internet ni download file naona update ya android 5 bado kwa Africa ,ni ya nchi kama tano tu ndio imetoka ,ingekua lumia phone najua ujanja wa kubadili region sasa vipi hizi android nazo zinahilo !? Nifanyaje kaka niende android 5 hii ya 4.4.4 inastack nikiweka application nyingi kaka,.Ahsante
Okau yangu ni g530h ,ahsante sana kakanenda setting halafu about angalia version yako ya grand prime ni ipi zipo version nyingi tu kama G530F, G530FZ, G530Y, G530H, G530FZ nk download rom kutokana na hizo version hata kama rom ni ya vietnam au brazil usijali hakikisha tu ni aina sawa na simu yako itakubali
Naikumbuka lumia 820 yangu sasa iko kabatiniissue ya simu kustack kwa samsung za zamani ni kawaida sababu touchwiz yake ni nzito
nenda setting halafu about angalia version yako ya grand prime ni ipi zipo version nyingi tu kama G530F, G530FZ, G530Y, G530H, G530FZ nk download rom kutokana na hizo version hata kama rom ni ya vietnam au brazil usijali hakikisha tu ni aina sawa na simu yako itakubali
Nimefanikiwa ,ahsante saaana kaka ,Mwenyezi akubariki saaana
Mkuu nami nahitaji msaada wa ku update huawei yangu ya mediapad10link imeishia mwisho android 4.1 so kama samsung wanatumia odin unaweza nisaidia huawei natumia software gani kui flash ili niipeleka android 5 au hata six maan google naon steps but zinakuwa hazinisaidii na nyingi ni waongo na tutorial za youtube nazo hamna kitu.so ahsanteh mkuu kama ntapata msaada wako wa hali na mali uelewa wa computer ninai japo sio mkuu ila ukinielekeza naweza fanya mwenyewe.jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash
pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
Mkuu nami nahitaji msaada wa ku update huawei yangu ya mediapad10link imeishia mwisho android 4.1 so kama samsung wanatumia odin unaweza nisaidia huawei natumia software gani kui flash ili niipeleka android 5 au hata six maan google naon steps but zinakuwa hazinisaidii na nyingi ni waongo na tutorial za youtube nazo hamna kitu.so ahsanteh mkuu kama ntapata msaada wako wa hali na mali uelewa wa computer ninai japo sio mkuu ila ukinielekeza naweza fanya mwenyewe.
Nikiweka facebook official inastack kama mwanzo ila nikiachana na facebook nikiweka tu fblight imekua nyepesi zaidi ya mwanzo kwakweli ,ahsante saaana kakavipi ulaji wa ram upo vile vile au imekuwa nyepesi?
Ku update phantom min z 4.4.2 PHM-Z-mini. Msaada jmnhio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
Tecno wenyewe wametoa updates?Ku update phantom min z 4.4.2 PHM-Z-mini. Msaada jmn
Cjajua kama wametoa updates na nkitaka kujua. Najuaje kkTecno wenyewe wametoa updates?
huwa wanatangaza wenyewe kwenye page yao ya facebook, so far nimeskia ni c8 peke yake imepata sijui kama kuna nyengine zina updateCjajua kama wametoa updates na nkitaka kujua. Najuaje kk
Thankshuwa wanatangaza wenyewe kwenye page yao ya facebook, so far nimeskia ni c8 peke yake imepata sijui kama kuna nyengine zina update