Nmeicheki iki unrooted,hio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
umetumia njia gani kujua kama simu yako haina root?Nmeicheki iki unrooted,
Na pia inadai update lakin nki update inazingua
Root checkerumetumia njia gani kujua kama simu yako haina root?
Kaka habarihio simu sio international version huwezi pata software updates huku na pia kuna uwezekano ina root ndio maana unaambiwa ipo modified. pia s3 nyingi zimeishia 4.3 zipo baadhi zilipata 4.4 ila huwezi kwenda mbele zaidi ya hapo hadi uwe na custom rom.
hio official inaenda android 5 nenda setting halafu about halafu software update uangalieKaka habari
Nina samsung sm g 530h imeishia 4.4 sasa napenda saana kwenda version 5 ,vipi naweza kupanda mkuu bila madhara kwa simu husika !?
Ahsante
Kaka mimi kujaribu hapana ,nilipenda tu kufahamu kama inawezekana ili nitafute fundi ,shaka yangu kubwa ilikua kwanza simu kutokufa pili tcra hawatofungia maana nasikia flashing zingine wanabadili mpaka imei namba (sina hakika lakini).jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash
pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
huyo fundi ndio atakubadilishia imei sasa, ukifanya official update haina madhara (ni nadra sana kupata madhara) ila zile update za mafundi ndio zinazingua.Kaka mimi kujaribu hapana ,nilipenda tu kufahamu kama inawezekana ili nitafute fundi ,shaka yangu kubwa ilikua kwanza simu kutokufa pili tcra hawatofungia maana nasikia flashing zingine wanabadili mpaka imei namba (sina hakika lakini).
Ahsante
Poa lakin iyo mission inaitaji rooting?jaribu kuflash rom ya kitkat moja kwa moja ila kuwa makini tu rom za korea mara haina ussd mara inamis hiki na kile, cheki sammobile kwa rom tumia odin kuflash
pia kama una ujuzi kidogo ni vyema ukaangalia kama kuna rom ya cyanogen ya simu yako uende latest version kabisa kwa custom rom
Official update ndio hiyo imeishia 4.4 mkuu dahhuyo fundi ndio atakubadilishia imei sasa, ukifanya official update haina madhara (ni nadra sana kupata madhara) ila zile update za mafundi ndio zinazingua.
hio ya sammobile haihitaji root ila hio ya cyanmogen itahitaji root na custom recoveryPoa lakin iyo mission inaitaji rooting?
wameandika 5 gsmarena,Official update ndio hiyo imeishia 4.4 mkuu dah
hio ya sammobile haihitaji root ila hio ya cyanmogen itahitaji root na custom recovery
Labda bado hawajaiachia maana naangalia kwa simu inaniambia nina latest update kakawameandika 5 gsmarena,
Labda bado hawajaiachia maana naangalia kwa simu inaniambia nina latest update kaka
sammobile ni website ya kudownloadia rom na odin ni software ya kueka rom kwenye pc, ila kama huvielewi elewi ni bora uache utafute anaejua akufanyieSammobile inafanyika kwenye pc, na kama sivyo naomba masaada wako wa jinsi inavyo fanyika