mkweli wa mambo
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 329
- 180
Najua hayo mambo ya kufungiwa yamefanyika kwenye main server, kama unauwezo wa ku-access computer ya main server nipm ili nikueleze jinsi ya kufanya hacking ili uweze kupata hizo website bila taabu yoyote.Mambo vp wadau,ndugu, jamaa na marafiki
Leo naomba msaada mmoja tu kutoka kwenu, ni jinsi gani nita unlock website zilizofungiwa,kwa mfano maofisini utakuwa website kama facebook,youtube n.k huwezi kuzipata, please naombeni msaada wenu.
Angalizo: msinifikirie vibaya mkaniona napenda kuchat tu nikiwa kazini badala ya kufanya kazi,ni muhimu sana haswa kwasisi tunaofanya kazi sehemu ambazo hata simu za mkononi haturuhusiwi kuingia nazo.
thanks in advance.
Mambo vp wadau,ndugu, jamaa na marafiki

poa joto hasira ,ngoja kesho nikiend job ntafanya ivo,maana ni computer za kaziniIngia google.com andika unblock website pronxy..kisha fungua moja wapo na uitumie kuingia kwenye mtandao wowote uliofungwa.
kudownload ntaweza sema tatizo linakuja kuinstall,maana ukitaka kuinstall kitu chochote unambiwa uingize username na password ya adminstrator,na ivo vitu wanajua watu wa IT wa kampuni tudownload na Install program moja wapo kati ya hizi
au tumia free web proxy ya HIDE MY ASS au TunnelGuru
- Expat shield free Vpn
- Ultrasurf
- Security KISS
kama hautomind basi nitafute nikuelekeze BURE kwenye PC yakO
kudownload ntaweza sema tatizo linakuja kuinstall,maana ukitaka kuinstall kitu chochote unambiwa uingize username na password ya adminstrator,na ivo vitu wanajua watu wa IT wa kampuni tu
chagua kazi au kuchat? yani muda wa kazi unataka uanze kuchat. nyie ndio mnaolalamika shirikisho la EAC litapokonya ajira zenu
Mm huu ukiritimba ndo si pendi maana kuna Ofice wanablock hadi email hizi sasa huo si Ukuda
na nn maana ya Internet sasa kama unanipa afu unaniwekea vikwazo vyote
Point nyingine ku-chat sio kitu kibaya na kama unajielewa mtu mzma, mtoto wa kiume na 2 balls kuchat hakuwezi zuia efficiency yako ya kazi
Unaongea vitu usivyovijua. Jifunze Server zinavyo control clients/resources.Ok unacho takiwa kufanya hapo ingia kwenye window - system32 forder-etc kuna host,protocal,network, ww ingia kwenye host angalia huu mpangilio alafu sema kuna mpangilio gani humo.
Ataitoa wapi hiyo administrator account?Hapo unatumia standard account kwa hiyo huwei kuweka program cha kufanya weka admistrator user mambo yanaenda vizuri
kama unaona masharti hayo ya kazi uwez acha kazi tena wewe inaonekana kazi ya internet cafe inakufaa ili uchat vizuri.
kila sehemu ya kazi ina utaratibu wake ukitaka uishi vizuri unavyotaka ujiajiri kama mimi. ukishindwa heshima kaz uliyonayo. ukiwa nyumban au muda ambao si wa kaz ufungue email na fb hiyo
Hapo unatumia standard account kwa hiyo huwei kuweka program cha kufanya weka admistrator user mambo yanaenda vizuri
Ataitoa wapi hiyo administrator account?