mpungara
Member
- Nov 16, 2011
- 75
- 17
habari ya leo waungwana,nina tatizo katika simu ya mtu wangu wa karibu sana,ana simu ya samsung GT-s5300.akamuazima mtu mwingine,sasa yule mtu akaizima ile simu,walipoiwasha tena wakakutana na swali la kuhitaji password,wao wakaingiza password nyingine za kubahatisha.wameweka mara nyingi mpaka ikajilock.
sasa hii simu inawaka lakini huwezi kufanya lolote zaidi ya kupokea tu.na kwa bahati mbaya zaidi hata account yake google,haijuwi,nimemuuliza anasema alifunguliwa na mtu wa tigo pale ofisini kwao,na huyo mtu alishahama.yuko mikoani.alipopigiwa simu akasema hakumbuki kitu kama hicho.
hivyo wana JF naomba msaada wa kuifungua simu hii kwa wale wataalamu zaidi wa mambo ya simu.