Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,504
- 7,439
Kuna ndugu yangu anaomba msaada kuifungua Tecno N7,hiyo simu ilikua unaifungua kwa touch unaandika elufi Kubwa,sasa kuna dogo alichukua akawa amejaribu kufungua?Password alizoingiza azikuwa zenyewe,ikajilock,ilikua inataka uingize username ya google,yaani kila ikiingizwa inagoma,sasa nimeamua kuleta kwa wataalam wetu wa JF
CC chief_Mkwawa vs all teknsheni
CC chief_Mkwawa vs all teknsheni