Ku fail kwa application ajira portal

Ku fail kwa application ajira portal

Rhoy

Member
Joined
Jan 14, 2025
Posts
23
Reaction score
11
Habari za wakati huu…

Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed,

Ni social work haiusiani na community development au kuna mahala nakosea??!
 
Haihusiani.
 
Wengi tu limewatokea hilo. Hata waliosoma Community Development kama minor Ajira Portal inawakatalia. Naona wanataka watu wa Community Development kama major tu ndiyo waombe. Au labda system yenyewe ina matatizo sijui.
 
Anhaa sawaa apo nimeelewa kwamba wanataka community development tu
 
Back
Top Bottom