ku chart na hause girl kaziii!!

ku chart na hause girl kaziii!!

[h=5]Aiseee kuchat na housegirl shida usiombe muwe mnachat text zake utakuta kama hii:

bebivipibadaeutakujanionejaposurayakotunimekumisshalafubebininaombahelaninunuekilekiatunilichokuambiasikuilelavyuumpenzimwaaa Duh yataka moyo....[/h]

Hahahaaaaa...!
 
Babakuleulikonifanyajanakunaumampakasasamamakaniulizanikwamwambianinajipunaombapesayadawa
 
msiwadharauwasichanawakazikwaninawaowanaakilitimamukamawatuwengine, acheni hizo hasa we mleta uzi huu.
 
Aiseee kuchat na housegirl shida usiombe muwe mnachat text zake utakuta kama hii:

bebivipibadaeutakujanionejaposurayakotunimekumisshalafubebininaombahelaninunuekilekiatunilichokuambiasikuilelavyuumpenzimwaaa Duh yataka moyo....

Hapo hata wife hawezi shitukia
 
Hayo ya nukta mi kila siku nakumbana nayo tena kila baada ya neno nukta zaidi ya 4 lakini kwenye mambo flani yuko vizuri
 
Back
Top Bottom