Ku appeal mkopo.

Ku appeal mkopo.

OllaChuga Oc

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
21,965
Reaction score
25,330
Wakuu habari zenu? Mimi mdogo wenu naitaji msaada wa namna ya ku appeal mkopo; bado sjajua hatua za kufata na vitu vya kuambatanisha. Hivyo naombeni msaada wenu wakuu maana siku zimekaribia kwisha. Asantenii
 
Loan board wanakazi sana, daah upo vizuri mkuu naona mkopo ni ziada tu maana umewekeza hata katikati napo k tu
 
Achana nao njoo nikukopeshe mimi kwa miaka 3 kurejesha mikopo tutaelewana tu usijali mdogo wangu.
 
Loan board wanakazi sana, daah upo vizuri mkuu naona mkopo ni ziada tu maana umewekeza hata katikati napo k tu
Mavitu ya kawaida ayaa mkuu ...ni uumbaji na upendeleowa Mwenyezi Mungu. Hahaha
 
Back
Top Bottom