KTM Motorbike

mojoki

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
1,313
Reaction score
291
Natafuta used (zilizotoka nje) motorbike aina ya KTM, ni wapi ninaweza kupata kwa hapa Bongo

Any mdau mwenye taharifa nakaribisha mchango wake.
 
Niliiona moja Ilala kwenye maduka ya spea yaliyopo Amana bajeti yake si unaijua maana sio kama Honda au Yamaha hizo pikipiki
 
Nenda Unguja zinauzwa kama njugu lakini ukumbuke kwamba ukija nayo Bongo unaisajili kwa kuilipia kodi upyaaaa!nchi hii ni kizungumkuti.
 
Kuna yard moja ipo opossite na Gold star Kariakoo, zipo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…