Krismasi hii wakenya wamejua kuvaa.

Krismasi hii wakenya wamejua kuvaa.

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
10,884
Reaction score
18,824
Wakenya mambo yao.
20251226_092222.jpg
20251226_092134.jpg
20251226_092117.jpg
20251226_092127.jpg
 
Kwenye kuvaa wakenya ni aibu ya east africa!! Na lile jua la garissa unaweza kuta mjaluo kajichemsha kwenye likoti la sutu zile za kizamani kabisa, ile koti ukiiweka kwenye mizani ni kilo zisizopungua 12, vijana wa naii ndiyo hao wanavaaga midosho mwanzo mwisho, ukimkuta wa tofauti ujue eishi kampala au arusha au dar.
 
Back
Top Bottom