jMali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 8,412
- 5,013
1. Malaysian Airways
2. Qatar Airways
3. Emirates
4. Ethiopian Airline
Haya mashirika ni balaa kwa kuwa na warembo. Unaweza kujikuta unaenda kupiga nao stori pale counter kwao.
Emirates?nimepata picha za vile wanavyoongeaga ,.. nikajikuta nacheka kwa sauti
imefanyaje ?Emirates?