KP - mchokozi...ha ha haa


Hapo kwenye red itakuwa sio fair kabisa.wamegoma kuongeza mshahara ,kipato chenyewe kidogo hivi tutaishije lakini ..kila siku mambo yanazidi kuwa magumu.
Hivi nani alisema maisha bora kwa kila mtanzania?
 
Bila kumsahau NATHAN MPANGALA.
lakini anatakiwa kusimama kp kama kp ili tumtambue ni KP.
 
Hii cartoon ni siku nyingi baada ya kuanzishwa ccj ila imetulia sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…