Kp aliyemuelewa tafadhali

Kp aliyemuelewa tafadhali

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Ceijii na jobu au?
FB_IMG_1547098576192.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 ( kwa kiswahili) hakuwa na ubora wa kukumbukwa saaaana! Basi tu ni kutokana na magalasa tunayokutana nayo.
Watu wameshawahi piga kura wakiwa Hija!!
Anyway fikra/maoni zenu/yenu nayaheshimu.
Ndo watanzania tulivyo!! Tuna unafiki na kusahau mambo kuliko hata mazezeta. Kwani leo waliokuwa wanakesha mitandaoni kumtukana JK si ndo wanalia kummiss!!! Sijui kwa lipi!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Sitta angekuwa Spika zama hizi angeufyata tu!

Sifa Za Lile Bunge apewe alieruhusu liwe vile

Ndugai akiwa Naibu Spika Wakati wa Jakaya sio Huyu wa sasa hivi

Nguvu Za Spika Na Bunge lake kwa Hapa Bongo zinategemea utayari wa Rais aliepo Madarakani ku promote uhuru huo

Kwa watu wazima watakumbuka Bunge la 1992-1995 wakati wa G55 ya kina Njelu Kasaka, Augustine Lyatonga Mrema, Tuntemeke Sanga, Kimbau n.k Na lingine Bunge la 2005-2015
 
Back
Top Bottom