Nashindwa kuelewa yani kwa aliyesoma arts advance akifika chuo anasoma kozi ambazo hazina ajira au?maana most of people wanasema hgl,hkl and hge hazina ishu. But why?
anyways nicheki pm nikushauri zaidi mdogo wangu muneera
taratibu mkuu usinipokonye tonge la mdomoni, niko naye sambamba huko pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama huna connection hata video ya mh.Askof huwez kuipata.Koz zote zina ajira, provided that una connection baada ya kumaliza chuo,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kama huna connection hata video ya mh.Askof huwez kuipata.
Bussines na economics navyo ni chengaHGe hiyo kuna course kibao za kusoma, Business utasoma, economics etc. kama hujui cha kusoma omba tukusaidie mama
😂 😂 😂 😂 😂 aiseetaratibu mkuu usinipokonye tonge la mdomoni, niko naye sambamba huko pm
Nashindwa kuelewa yani kwa aliyesoma arts advance akifika chuo anasoma kozi ambazo hazina ajira au?maana most of people wanasema hgl,hkl and hge hazina ishu. But why?