ngotho
Senior Member
- Jun 18, 2021
- 142
- 110
wakuu Habarini za saiz..
tumsifu yesu kristo..
Bwana yesu asifiwe...
salam alihekum...
wakuu wangu kuna swala dogo sana linanisumbua akili ... naombeni mnieleweshe ..
ivi kozi zote zinazohusisha matumizi ya kompyuta kv.. it, bachelor of sciences information technology.. computer sciences, ict.. etc.
swali.. hizo cozi kwa watu ambao hawana background ya computer for example.. mtu kasoma pcm, pgm, egm. na hge wanapoingia chuoni wanapigishwa introduction to computer in the first semister? au lecture ana assume unajua na kuanza na complicated concept moja kwa moja??
nimeuliza kwa sababu kozi zangu nilizochagua zote ni computer tupu na mimi nimesoma egm sina concept ya computer .. hapa inakuaje??
inawezekana mtu wa advance asiyekuwa na background ya computer aje alingane na aliyetoka diploma aliyeiaomea miaka mitatu??
kama haiwezekani.. kwa nini hizi cozi wanaruhusu wasiokuwa na computer background to stakehold them??
naombeni ushauri wakuu.. natanguliza shukurani