Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,504
- 28,691
Mkuu Aroon lakin c inakua applicable kwenye viwanda vya aina zote..?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Yap ni vyote
Mkuu Aroon lakin c inakua applicable kwenye viwanda vya aina zote..?
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ni mtoto Wa mechanical engineering
Nilichaguliwa udsm
Nikaipiga chini nikaenda Mecha.
Industrial ni based kwa viwandan tu kama ilivyo automobile kwa magari tu...lkn hawaendi ndan zaid
But Mecha anawaingilia kwan ni mama yao.
Now days kuna aircraft maintenance engineering nayo ni mtoto wa mecha
Am proud to be a mechanical engineering
Mkuu mbona unatudhalilisha???? Unajua tofauti kati ya engineer na engineering???
Ilibidi useme "am proud to be a mechanical engineer na sio engineering" (au uko mwaka wa kwanza mkuu)??
Katika ufahamu wangu na ninavyoo elewa coz zinzo kuja juu ghafla katika soko ndo kozi za kuziogopa .kutokana kwamba zikijaaa tu ..utakaaa mtaaani ....coz knakua na udadi flani ya watu wakipatikana tu....wengine mtafte njia..
Lakini cozi za kukimbilia ni coz amabzo ..hazipo juu wala chini bali ni normal ..amabzo unaweza jiajiri MWENYEWE hata kwa mtaji mdogo. Ambazo znaendelea kuhitajika day to day..na znazolingana kwa technologia ya nchi yetu.
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Wewe unajua sylabus coverage ya mechanical.? Inshort mechanical ni mechanical, electrical ni electrical. Hakuna substitute wa mwenzake.
I am telecommunication engineer na nilisoma Telecommunication, ila nina much respect kwa watu wa Civil, Electrical, na Mechabical. Bila hawa hakuna engineering, pia knowledge yake is there to stay for years na haibadilikibadiliki. Na kwa bahati nzuri nimefanya na kupractice electrical kwa vitendo from drawing design to equipments fitting and installation. Niliienjoy na ninaenjoy sana kufanya electrical.
I must admit kuwa nilienda telecom kwa mkumbo tuu.

Naku support kiongoz..Civil ndo kozi inayoongoza kwa Tz.Inafaa kwasababu Tz bado ni third world na inahitaji kujengwa
Mech haina market kwasababu bongo hakuna heavy industries.Utaishia kufanya maintenance na machine ikizingua zaidi techncician kutoka kwa manufacturer anakuja kukutengenezea
Electrical i think wote tunajua matatizo ya umeme nchini.Haitaji elaboration
Kozi nyingine za uhandisi zilizobaki ni mbwembwe tu
Umeongea kweli kabisa.Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Mechanical hatii mguu kwa electrical hata kidogo.
Mechanical anakimbia kazi za electeical but Electrical anaweza kufanya kazi za mechanical labda atazidiwa kwenye designing tu. Hata kama electrical hawezi lakini anachukua muda mdogo sana kuelewa kazi za mechanical hasa viwandani.
Electrical is all about. Proud to be part of them.
Kozi inayolipa ni music/sound engineering,kwa bongo bora ujifunze muzik,uimbe au ufanye production,Hizi ni course za engineering zinazolipa/ziko moto kwa TANZANIA...hizi course ni 1.AGRICULTURE ENGINEERING 2.IRRIGATION AND WATER RESOURCE ENGINEERING 3.BIO-PROCESSSING ENGINEEERING zote hizi zinapatikana SUA
Ni uinjinia wa aje huu boss?Environmental Engineering naona haikutajwa kabisa hapa
Akina sisi hao. Ni mainjinia "viraka". Tunafiti karibu kila mahali. Uhandisi wa Maji; Majitaka; Taka-ngumu. Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira. Tathmini ya Athari za Mazingira. Usalama Kazini. Udhibiti wa Maafa. Na mengineyo mengi.Ni uinjinia wa aje huu boss?
Wanadeal na nini hasa? Vipi malipo yao
Aseeee tembea uone, lakini kazi zake si zipo?Akina sisi hao. Ni mainjinia "viraka". Tunafiti karibu kila mahali. Uhandisi wa Maji; Majitaka; Taka-ngumu. Udhibiti wa Uchafuzi wa Mazingira. Tathmini ya Athari za Mazingira. Usalama Kazini. Udhibiti wa Maafa. Na mengineyo mengi.