Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

Kozi za Uhandisi zinazolipa Tanzania

Aseeee tembea uone, lakini kazi zake si zipo?
Kwahiyo yenyewe tutairank ya ngapi katika uhandisi unaolipa?
Ilimradi watu wanaendelea kuhitaji maji safi na salama; kukusanya, kusafirisha, kuchakata na kuhitimisha majitaka na taka-ngumu; kutunza mazingira yasichafuliwe; kutathmini na kukagua athari za mazingira; kujiandaa, kukakibili na kupunguza hasara na hatari itokanayo na maafa; na kuwa na mazingira bora na salama ya kufanyia kazi; wahandisi wa mazingira wataendelea kuhitajika.

Kwenye upande wa kulipa hapo sina takwimu za kutosha kuweza kupazungumzia...
 
Ilimradi watu wanaendelea kuhitaji maji safi na salama; ...

Maji safi kuna kozi special za maji... zipo chuo maji na SUA.

Environmental kwenye water supply anaiba tu yeye kwake ni maji machafu.

Na tunako enda kazi za water supply atakua hapewi tena maana kuna watu walio base kwenye hiyo sector (ambao hawajaunga unga).
 
Kongole kwao.

Environmental Engineer kazi yake ni kupigia debe upandaji miti ya kivuli ili kuzuia jangwa; walipata kusikika watu fulani 😀 . Wewe umeenda hatua moja mbele angalau umetaja maji machafu. Ninyi nyote hujiweka wazi kutozingatia kwenu uhalisia.

Kozi ya Environmental Engineering hapa Tanzania ilianzishwa miaka ya enzi za Nyerere ikiitwa Public Health Engineering (PHE). Kozi hiyo ililenga kuandaa wataalam watakaoweza kwenda vijijini na mijini kama maaskari walio mstari wa mbele katika kutumia afya ya jamii kama mbinu ya kupambana na magonjwa, moja ya maadui wakubwa watatu wa taifa. Kazi kuu ya wahandisi wale ilikuwa ni ya majisafi, majitaka, taka-ngumu na udhibiti wa uchafuzi wa mazingira.

Kutokana na maboresho kwenye fani, na mahitaji ya kitaifa na kimataifa, kozi hiyo iliboreshwa na kuitwa Environmental Engineering, jina ambalo liko mpaka leo.

Kusema Environmental Engineers tunaibia kuhusu masuala ya majisafi, hakuzingatii uhalisia wa yaliyomo kwenye kozi yenyewe ya Uhandisi Mazingira. Siyo lazima kozi iwe na neno Maji au Water ili mhitimu awe mtaalam wa maji. Wajemeni!

Huo utakuwa uamuzi wa kijuha kuwahi kutokea hapa nchini.

Huwezi kuzuia watu mahiri kwenye tasnia ya maji kutumia ujuzi wao ambao taifa limetumia gharama nyingi kuwaandaa, eti tu kuridhisha watu fulanifulani wanaotaka kutafutia soko wahitimu wa kozi zao kwa mbinu ya kizembe ya kuzuia wahitimu wa kozi zingine.

Sote tunajenga taifa moja, ni wehu kuanza kunyang'anyana fito.
 
Naona kuna kitu hujaelewa.

Chukua huu mfano.

Una mhitimu wa chuo aliyesoma water supply engineering pale chuo cha mji (mfano).

Na una mwingine aliyesoma enviromental engineering pale ARU.

Je kama una kazi ya ujenzi wa mradi wa waste water katika jiji la dsm, utamchukua aliye base kwenye water supply engineering au environmental engineering?

Ukimaliza huo rudi kwenye huu tena..

Alafu una mradi wa ujenzi wa mradi mkubwa wa maji masafi kutoka kule rufiji. Je utamchagua mtu aliye base kwenye water supply engineering au environmental engineering?
 
Maji safi kuna kozi special za maji... zipo chuo maji na SUA.

Environmental kwenye water supply anaiba tu yeye kwake ni maji machafu.

Na tunako enda kazi za water supply atakua hapewi tena maana kuna watu walio base kwenye hiyo sector (ambao hawajaunga unga).
Hata watu wa Laboratory technology wanaweza kusafisha maji kwa kutumia kemikali na yakatumiwa tena mara ya pili...au hata maji machafu ya viwandani yanaweza yakawekewa kemikali yakapunguzwa ukali...
 
Back
Top Bottom