Wengne 2natumia cmu hatuon kilichoandkwa hapo.
Oooh ok nashukuru sana, maana umenijibu moja wapo ya swali nililowauliza kuhusu mitihani, hapo itakuwa ishu kwenda hapo mahala kufanya mtihani.Inawezekana kabisa!Si unajua tena E-learning ndio inaanza kuota mizizi East Africa,hata Kenya wameshaianzisha kwenye baadhi ya vyuo vikuu vikubwa kama Nairobi.Wanavyuo wanasajiliwa na wanasomea online,na hata ukitaka msaada unapata kutoka kwa wahadhiri kupitia "webcam"Ila siku ya mtihani ikifika unaenda chuo.Kuna siku walionyesha kwenye Citizen tv jinsi inavyokua,ila inahitaji high speed intanet!