Showio JF-Expert Member Joined May 16, 2019 Posts 254 Reaction score 482 Mar 27, 2020 #1 Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje. Asante
Masai wa Town JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 6,726 Reaction score 24,530 Mar 27, 2020 #2 Showio said: Mkuu nahitaji kujua waliomaliza pale kwenye kile chuo hali zao zipoje kiajira/kwenye soko. Click to expand... Kwa swala la ajira, duniani nzima hususani 3rd world countries ni pasua Kichwa. Wewe Soma unachokipenda ukimaliza njoo shambani tulime mchicha. Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Showio said: Mkuu nahitaji kujua waliomaliza pale kwenye kile chuo hali zao zipoje kiajira/kwenye soko. Click to expand... Kwa swala la ajira, duniani nzima hususani 3rd world countries ni pasua Kichwa. Wewe Soma unachokipenda ukimaliza njoo shambani tulime mchicha. Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
google helper JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 9,667 Reaction score 13,872 Mar 27, 2020 #3 Showio said: Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje.Asante Click to expand... soko lake ni ww utakavyojiwek utapata tu kazi ya kufanya maana kila mtu anatumia maji na kila nyumba na maghorofa yana mabomba ya maji nk nk
Showio said: Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje.Asante Click to expand... soko lake ni ww utakavyojiwek utapata tu kazi ya kufanya maana kila mtu anatumia maji na kila nyumba na maghorofa yana mabomba ya maji nk nk
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,636 Reaction score 3,167 Mar 27, 2020 #4 Kozi zote zinasoko wewe tu na kichwa chako 121.
Showio JF-Expert Member Joined May 16, 2019 Posts 254 Reaction score 482 Mar 27, 2020 Thread starter #5 Chabrosy said: Kozi zote zinasoko ww tu na kichwa chako 121. Click to expand... Ni kweli but zinazidiana,sasa nataka kujua ipi ipo marketable zaidi ya nyengine
Chabrosy said: Kozi zote zinasoko ww tu na kichwa chako 121. Click to expand... Ni kweli but zinazidiana,sasa nataka kujua ipi ipo marketable zaidi ya nyengine
Showio JF-Expert Member Joined May 16, 2019 Posts 254 Reaction score 482 Mar 27, 2020 Thread starter #6 google helper said: soko lake ni ww utakavyojiwek utapata tu kazi ya kufanya maana kila mtu anatumia maji na kila nyumba na maghorofa yana mabomba ya maji nk nk Click to expand... Kwa mfano kozi ya usambazaji maji, na kozi ya uchimbaji visima ipi ipo more marketable?
google helper said: soko lake ni ww utakavyojiwek utapata tu kazi ya kufanya maana kila mtu anatumia maji na kila nyumba na maghorofa yana mabomba ya maji nk nk Click to expand... Kwa mfano kozi ya usambazaji maji, na kozi ya uchimbaji visima ipi ipo more marketable?
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,807 Reaction score 2,044 Mar 28, 2020 #7 Water supply and sanitaion engineering, apply hiyo chap SUKAH
Showio JF-Expert Member Joined May 16, 2019 Posts 254 Reaction score 482 Mar 28, 2020 Thread starter #8 SUKAH said: Water supply and sanitaion engineering, apply hiyo chap SUKAH Click to expand... Poa poa! Kwa hiyo ya uchimbaji visima haina soko?
SUKAH said: Water supply and sanitaion engineering, apply hiyo chap SUKAH Click to expand... Poa poa! Kwa hiyo ya uchimbaji visima haina soko?