Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,495
- 2,250
CreativeTechs wanafanya kozi za bure Live kupitia mtandao wana kozi za Photoshop, Flash, Android, iPhone na zengine nyingi full list:
http://creativetechs.com/training/
Kuangalia kozi nenda http://creativetechs.com/training/live/
Unafuatilia video na kuna chat unaweza kuongea na watu na kumwuliza mwalimu maswali.
Kwa wale wenye pay per Mb connections tahadhari, ni streaming video hiyo!