Kozi yenye soko la ajira kwa kipindi hiki.

chaji

Member
Sep 15, 2018
13
10
Habari ndugu zangu,....mimi ninaomba kwenu mchango wa mawazo kulingana na hali hali halisi ilipo kwa sasa , je nikozi gani ambayo mtu mwenye ufaulu alama D 4, ambazo ni kwa masomo ya Art isipokuwa somo la biology nalo lipo na kukamilisha hizo D4.
Naomba sana ushaur wenu je kozi ipi itafaaa
 
Nursing wanaitaji masomo ya sayansi na mimi nina masomo ya art kwa somo la sayansi ni biology tu ndio nina credit nalo
 
"Management of social development." Hii ni coz kwaajiri ya project managers, Administration, Arbitration and Mediatorship, Community Development n.k kozi hii inatolewa chuo cha serikari cha Mwalimu Nyerere. Kinapokea masomo yeyote ila uwe na ufaulu wa kuanzia D4 nakuendelea.
 
Back
Top Bottom