Kozi ya udereva

Kozi ya udereva

Jfrank

Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
22
Reaction score
9
Wadau ningependa kuuliza,

Kwa mtu ambae hajawahi kusoma kozi yoyote ya udereva, na kwasasa anataka akaisome ila apate leseni class C, kuna uwezekano wa kwenda Veta na kusomea udereva class C na ukapata leseni ya class C mara baada ya kuhitimu mafunzo?
 
Ni mchakato ni kama kufika darasa la saba wakati hata shule huja anza.
 
Lazima uende shule maana hiyo leseni dalaja c lazima uambatanishe na cheti Cha mafunzo kutoka veta au NIT ili upate
 
Unatak leseni ya udereva au unataka kusoma udereva..

Leseni inapatikana bila kusoma kozi ya udereva.
 
Back
Top Bottom