Kozi ya Local Goverment...

Kozi ya Local Goverment...

zafryjuma

Member
Joined
May 22, 2015
Posts
94
Reaction score
0
Nina ndugu yangu ame chaguliwa kusoma digri Mzumbe kozi ya local goverment...alikuwa ana niuliza hiyo kozi ina husika na nn...na atakapo maliza hyo digri yake ata kuwa kama nan kazini..Naombeni msaada
 
Mbona vitu vya kushangaza sana mtu kuapply course ambayo haifahamu.Imekuwaje ameapply wakati haifahamu inahusika na nini?
 
Nina ndugu yangu ame chaguliwa kusoma digri Mzumbe kozi ya local goverment...alikuwa ana niuliza hiyo kozi ina husika na nn...na atakapo maliza hyo digri yake ata kuwa kama nan kazini..Naombeni msaada

Atakuwa mwenyekiti wa serikali za mitaa.....
 
Back
Top Bottom