Ndiomimitz
Member
- Oct 3, 2022
- 9
- 10
Wakuu habari.... Hope mko poa katika ujenzi wa Taifa
Kuna hii kozi ya diploma in pipe works oil and gas engineering ambayo ilianzishwa mwaka 2017 chuo Cha ufundi Arusha na mpk sasa inatolewa na NIT,
Kimsingi hii kozi ni nzuri sana kwani Ina fundisha vijana skills za mechanical engineering na imeenda mbele zaidi inawapa watoto skills kwenye masuala ya mafuta na gesi ikijikita zaidi kwenye mfumo ya usafirishaji..
Sasa Cha ajabu ni kwamba ever since imeanzishwa hii kozi mpaka Leo ajira pekee ambayo serikali imetoa ni walimu wa kozi hii Yani hakuna aliyeenda TPDC wala Bandarini of which it's not my intention ya kupost hapa..
Ni hivi wakuu hii kozi Inawafunza vijana kufanya kazi zote za mechanical, pia kazi za idara ya maji Yani pipe and fittings of water distribution, lakini pia Inawafunza vijana kuhusu mafuta na gesi. Hii ni kozi kubwa yenye combination ya Vitu mbali mbali ambavyo kimsingi vingeweza kusaidia sana katika sekta ya viwanda, TEMESA, TANROADS, na sehemu nyingi zinazoitaji watu wenye ujuzi wa mechanics
Ombi langu kwa wanajamvi wote na waajiri wote mlioko kwenye system tafadhari ITAMBUENI hii kozi na MU INCORPORATE kwenye requirements zenu mnavopeleka mahitaji wa wataalamu UTUMISHI kwa ajiri ya vijana kupambana kupata ajira..
Iwafikie wahusika wote kua Vijana waliosoma hii kozi wanaweza kukidhi mahitaji yenu ya soko la mafundi wa mitambo, magari, mizani, mafundi wa idara ya maji na mafundi wa mifumo ya usafirishaji wa mafuta na gesi.