Kozi ya data entry

A man with no name

JF-Expert Member
May 7, 2017
1,098
1,498
Habarini za wakati huu wananzingo

Nimekuja kwenu kwa lengo la kutaka kupata uzoefu na kuongeza ujuzi zaidi katika kozi nikiyoitaja. Ombi langu kwenu ni kama yupo mtu anaeweza kunisaidia katika kupata maarifa hayo kwa maeneo ya Moshi naomba anitumie ujumbe PM

Asanteni natanguliza shukrani zangu kwenu
 
Data Entry kozi ya nini?!

Unachotakiwa kufanya ni wewe mwenyewe ku-practice speed and accuracy... that's all you need in Data Entry!!

Kuna programu kibao online zinazoweza kukusaidia ku-improve speed and accuracy!
 
Shukrani mkuu
 
Unaweza nitajia hizo program mkuu
 
Shukrani mkuu
You're welcome, but point of advice!! Kama lengo lako ni kutumia ujuzi huo kutafutia vibarua Bongo, then well and good; lakini kama lengo lako ufanye freelancing jobs; basi unatakiwa kujifunza na Internet Research!

To be more competitive, inakuwa bora zaidi kama unajifunza na Data Scraping kwa sababu watu hivi sasa wanasaka data zilizopo online lakini zile ambazo hazipatikani kirahisi kwa kutumia normal web/internet research!
 
Unaweza nitajia hizo program mkuu
Ukitaka kuingia kwenye hiyo field, unatakiwa kuanza kujifunza kujitafutia wewe mwenyewe! You just Google "Typing Speed Test" or "Typing Speed Games" na utakutana na hizo info, na kukuwezesha kutafuta program ipi itakufaa zaidi.
 
Nashukuru sana mkuu nikiomba unipe msaada wako maana naitaji kufanya freelancing
 
Back
Top Bottom